Mtoto anaanza kucheza mimba ikiwa na muda gani?

Ruth

Member
Jul 27, 2009
26
2
Naomba mnisaidie mtoto anaanza kucheza mimba ikiwa na muda gani,
mimi nina ujauzito wa miezi minne, ni ujauzito wangu wa kwanza, sijaexperience hiki kitu.
 
hongera kwakuwa mama mtarajiwa anaanza kucheza tumboni mimba ikiwa na miezi 5 but inategemea na uchangamfu wake huko alipo wengine miezi 4 na nusu
 
Wanajanvi, naomba msaada wa kutaka kujua ni mimba ya miezi mingapi mtoto anaanza kusikika akipiga au akicheza maana MDOGO wangu wiki ya 20 lakini bado hajasikia.
 
Kati ya wiki ya 16 hadi 25...

Wanawake wengi hupata tabu kung'amua kwa mimba zao za kwanza...

Lakini kipimo cha Ultra Sound huweza kuona movements mapema zaidi ya hapo...

Je kashafika kliniki au kufanya ultra sound?
 
hivi wiki ya 20 ni miezi mingapi?
Wangu alianza na miezi mitano kama sijasahau
 
Wanajanvi, naomba msaada wa kutaka kujua ni mimba ya miezi mingapi mtoto anaanza kusikika akipiga au akicheza maana MDOGO wangu wiki ya 20 lakini bado hajasikia.

Weka ngoma za Diamond platnum hapo "Mdogomdogo" uone kama hatocheza mkuuu
 
Back
Top Bottom