Search results

  1. markp

    Baada ya kuzifungia Bar, NEMC yatangaza Vita na nyumba za Ibada

    w wale walikuwa wanaomba maombi hayahtaji makele jua kutofautisha kati ya kelele za shangwe na maombi
  2. markp

    Baada ya kuzifungia Bar, NEMC yatangaza Vita na nyumba za Ibada

    Tatizo watapishana na MUNGU maana kuna muda anapenda kelele na shangwe za watakatifu wake je tuisikilize serikali kuliko MUNGU?
  3. markp

    Devotha Minja: Namshangaa Hussein Bashe kutaka Bodaboda za Maafisa Ugani zifungwe GPS

    Hata pkpk zenye gps zinaibiwa na hawazikamati. Kama hoja ni wizi amefeli . Kama hoja ni kujua pikipiki inatumika wapi basi watumish wote wa serikali wanaotumia vyombo vya moto vya serikali ikiwemo mawazi na hata silaha ziwekwe hzo gps.
  4. markp

    Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

    Tatizo sio kuuza tatizo hyo ela inaingia mfuko gani? Unadhani kinana pale juu yupo kwa ajili ya chama? Hzo ndo sector zake zoefu. Apewe uwaziri wa wanyama pori na utoroshwaji. Wizara mpya
  5. markp

    Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

    Mwanzo 1:28 inaonyesha mwanadamu anapewa kutawala asingeweza kuambiwa habari za ubaya wakati hajui mema wala mabayia alichotakiwa kufanya ni kutii kike alichoambiwa. Mungu hawezi kuingilia uamuzi wa mwanadamu ila anaweza akamshauri na kumshawishi mabaya kwake yote ni sawa
  6. markp

    Maswali tatanishi kwenye historia ya ulimwengu

    Biblia ina majibu yote ya maswali yako. Kwa swali la kwanza ratiba ya kalenda ipo. Soma biblia vyema. Yesu hakufa ila alitoa roho yake na kuirejesha tena.
  7. markp

    Fahamu kisa cha Jasusi John Gweru, Afisa Usalama aliyeikimbia Zimbabwe kwa kuchoka kuua

    Sema basi kama ni kesho tulale kastor kenyewe tatizo katamu sana
  8. markp

    Kufuru hizi anaziona mwenye Mamlaka Mbinguni na Duniani .Viongozi wa dini semeni neno mhesabiwe

    wakina mayala maeneo kama haya hawaongei. wanangoja wapinzani wakosee
  9. markp

    Waziri Mwigulu: Serikali kutoza Tsh. 10-200 kwa siku tozo ya laini moja

    kuna mambo yanatia hasira sana. hivi kweli hawa viongozi wanawazaje mbona thinking capacity zao ndogo sana.
  10. markp

    Hivi itanigharimu kiasi gani nikitaka kufungua studio ndogo ya kurekodi Muziki?

    nina kinanda yamaha psr 9000 anayejua jinsi ya kurekodi beat au nyimbo anielekeze tafadhali. yani hki kinahtaji mtu ajue mana kina maneno mengi.
  11. markp

    CHADEMA, kabla ya kudai Katiba Mpya fanyeni mabadiliko kwenye chama chenu

    katiba mpya si kwa ajili ya chama ni kwa ajili ya wananchi kama chama kina matatizo yake basi ndo wapinzani wake wachukue kama point kwenye uchaguzi. Kama ccm inaona chadema haipo vizuri basi ijipatie point kupitia huo udhaifu lakini suala la katiba mpya ibaki kuwa takwa la wananchi kwakuwa wapo...
  12. markp

    CHADEMA, kabla ya kudai Katiba Mpya fanyeni mabadiliko kwenye chama chenu

    Mbona hueleweki unataka nini! au hoja yako haswa ni nini? Katiba mpya na utawala wa CCM au Chadema inahusiana nini? Kwenye uhai wa nchi we unaleta mambo ya vyama. katiba mpya ni zaidi ya vyama vya siasa.
  13. markp

    Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

    unataka tuweke zile video za wizi wa kura ambao hata maaskari waliiba? Ni kwanini walizima mitandao ya kijamii waliogopa nini
  14. markp

    Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    hayo ni maneno tu ya mfa maji nakumbuka hata zitto kabwe alisema mi nitakuwa wa mwisho kutoka CHADEMA lakini cha ajabu yeye ndo akawa wa kwanza kutoka. kuna point ikifika huwa mtu anakuwa anaongea asichokifikiria. hakuna apendae chama kuliko maisha yake. lakini kuna wakati ili kuonyesha...
  15. markp

    Nimeamini Freeman Mbowe ni kiongozi makini

    Wangeachwa pia mngeongea tena sana.
  16. markp

    Msaada: Cheche ya moto imeingia jichoni

    mnamlaumu wakati inawezekana tukio limetokea usiku. hv hapa na mimi kuna mtu imemtokea nikasema nitafute ushauri nakuta lawama
  17. markp

    Angekuwepo Hayati Magufuli Ruby ya bilioni 240+ isingetoroshwa. Taifa litaibiwa sana rasilimali zake

    Vipi zile dhahabu alizoleta uhuru kenyata zilifikaje kule kenya wakati magufuli alikuwepo au wewe ni msahaulifu?
  18. markp

    Peter Msigwa (CHADEMA) ni mbunge aliyelisemea Jimbo la Iringa Mjini

    huyu mama ndo kaongea ujinga hv dah. Kweli ccm inatoa watu ufahamu
Back
Top Bottom