Angekuwepo Hayati Magufuli Ruby ya bilioni 240+ isingetoroshwa. Taifa litaibiwa sana rasilimali zake

Rais fisadi kuliko wote waliowahi kutokea Tanzania

Mbaya zaidi alikuwa muuaji
bado nashangaa sana Rais Magufuli alikuwa muuaji ukimaanisha nini. Unafahamu historia ya nchi hii kweli? Unafahamu habari za Mwangosi, je unafahamu habari za Mauaji ya Kipindi cha Rais Mkapa?
 
Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.

Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.

Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.

Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?

Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Jana kwenye IG page,Msigwa alipost Kwa furaha Ile taarifa ya African News...... kuonyesha hiyo Ruby....Leo katoa baada ya kusikia waziri anajibu bungeni hawajui na wanafuatilia imefikaje........kifupi nchi yetu ni ya kijinga sana.....nadhani Kwa Dunia nzima inawezekana Tz ndiyo nchi yenye uongozi usiojali rasilimali zake duniani.......

Neno uzalendo halipo kabisa
 
Vipi zile dhahabu alizoleta uhuru kenyata zilifikaje kule kenya wakati magufuli alikuwepo au wewe ni msahaulifu?
Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.

Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.

Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.

Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?

Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
 
Huu ndio uandishi wa kipimbi ambao wastaarabu ni lazima waupinge tena hadharani kabisa.

Unao ushahidi upi kama ile dhahabu iliyoweka wazi pale Dubai iliondoka nchini wakati wa Samia?. Kama ni sehemu ya ule mzigo uliomtajirisha Laizer wa Arusha, unapata wapi uhalali wa kuandika vitu wakati huna ushahidi?.

Akipakwa matope Samia ni poa tu lakini akianza kupakwa matope hayati mnaanza kumzodoa Rais SSH kama vile anampiga madongo marehemu!!.

Tulizeni vichwa vyenu.
Unatumia makalio na mavi kichwani kwani .
 
Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.

Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.

Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.

Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?

Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Watu wanasema tulitangazwa bure kwenye jengo la dubai..
 
Unatumia makalio na mavi kichwani kwani .
Mavi kichwani ni ulichoandika na nikajikuta nalazimika kukijibu. Magufuli alikuwa binadamu wa kawaida tu.

Mnavyoendelea kujikomba kwake hata akiwa ndani ya kaburi lake tena zaidi ya mwaka mnajishushia heshima.

Kama akili ipo sawa sawa inafaa ujiulize kwanini unatumia nguvu kubwa kumtetea mpaka unakuja kutukana wakati yeye sio sehemu ya walio hai muda huu.
 
Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.

Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.

Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.

Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?

Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Wakati linatoroshwa waziri wa madini alikuwa udom akisoma Phd
 
Nyinyi si mlikuwa mnashangilia Burj Khalifa kupambwa kwa rangi za bendera ya nchi mlijua kuna vya bure.Liweni kidogo ili na nyinyi mle kwa urefu wa kamba yenu.

Habibi come to Dubai
 
Back
Top Bottom