Kufuru hizi anaziona mwenye Mamlaka Mbinguni na Duniani .Viongozi wa dini semeni neno mhesabiwe

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,106
144,566
Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii.

Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu.

Kuna mtu alifananishwa na Mungu wakati ule bado yupo ofisini. Watu wakaonya wakapuzwa, ila leo mtu huyo hayupo na bado hamjajifunza.

Tunajua haya ni matokeo ya kutumia nguvu nyingi kuwasafisha walioshindwa ku-deliver kutokana na walivyoboronga na hali halisi ya maisha ya watu mitaani.

Hata hivyo, kuweni na kipimo mengine ni kufuru mbele za Mungu.

Viongozi wa dini natarajia mtajitokeza na kukemea mambo haya.

Toeni neno mhesabiwe na msituachie sisi tusio na sauti kuyasema haya.

Kazi kwenu

.
 
Attachments

  • Screenshot_20221209-075456_Twitter.jpg
    Screenshot_20221209-075456_Twitter.jpg
    70.8 KB · Views: 2
Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii.

Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu.

Kuna mtu alifananishwa na Yesu na chawa wake wakati ule yupo ofisini, watu wakaonya wakapuzwa ila leo mtu huyo hayupo na bado hamjajifunza.

Tunajua haya ni matokeo ya kutumia nguvu nyingi kuwasafisha walioshindwa ku-deliver kutokana na walivyoboronga na hali halisi ya maisha ya watu mitaani.

Hata hivyo, kuweni na kipimo mengine ni kufuru mbele za Mungu.

Viongozi wa dini natarajia mtajitokeza na kukemea mambo haya.

Toeni neno mhesabiwe na msituachie sisi tusio na sauti kuyasema haya

Kazi kwenu

.
Pride comes before the fall
 
Zamani kuna jamaa alikuwa anaitwa Rev. Fr. Masanilo. Sijui alienda wapi yule jamaa. Nyuzi kama hizi ndio zilikuwa zake..2009 huko

Hapa tungeshuhudia ligi na kina Malaria Sugu, Ritz na Faizafoxy...uchaguzi wa 2010 huo
 
Hata ningekuwa mm ni makamba na kinana ningeropoka niwezavyo. Yaan bashiru na genge lake lakuwaita kwenye kamati ya nidhamu kidharau vile. Kila zama na kitabu chake. Unajua JPM asingekufa alishaanzisha mfumo wake ndani ya ccm ambao ungewatenga kabisa, inamaana matumaini ya wao na kizazi Chao kutamba ulikuwa unapumulia oxygen, Sasa ndani ya Giza ghafla mwanga unaonekana kwann wasifurahie
 
Back
Top Bottom