voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,552
- 11,892
Na hata vijana wa sasa wengi wanaamini mitandaoni kuliko hata wanachofundishwa Madarasani.Tatizo la wabongo wengi story za vijiweni ndio wanatuletea tuzijadili.Hii ni tatizo kubwa Sana.

unataka tuweke zile video za wizi wa kura ambao hata maaskari waliiba?Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
The winners write History, ulishawahi kuusikia na kuulewa huo msemo?
Maamuzi ya kupora uchaguzi?!Mbali na mapungufu yake kama binadamu, jamaa alikuwa mtu wa maamuzi... RIP JPM
Hivi unadhani unaongea na watoto ama? Huenda mnafikiri tumesahau ukweli wa wizi ule. Taarifa za wizi ule na mabox ya kura fake yalikamatwa na kupelekwa polisi, na polisi walikaa kimya. Kibaya zaidi polisi walikuwa sehemu ya ulinzi wa kura zile za wizi ili zifike vituoni! Ushahidi wa haya upo wazi, lakini unaenda kushitaki wapi ambapo hapakuwa sehemu ya utawala wa kihayawani wa Magufuli?Unaweza ukaweka ushahidi wa wizi hadharani au ni ule ule umbeya wa facebook na twitter?. Unaweza ukaenda mahakamani kufungua kesi kwa haya uliyoyaanzishia kabisa uzi au ndio kilio kilio kile kisicho na sababu za msingi?.
Samia anahangaika anatembea duniani nzima na anapata pesa zinazotekeleza miradi mbali mbali, na yeye ikifika 2025 akipata ushindi wa asilimia 85 au 90 ataambiwa kaiba kura!!.
Hizi ni akili ambazo haziwezi kumshawihi mtu makini akaziunga mkono. Kumbuka kuna maisha ya nyuma ya keyboard na kuna yale ya mtaani, ni vitu viwili tofauti.
Mpumbaff weye!Gunioooo!Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
We ni Mke wake Hayati Mwamba Dr JPMHata familia yake ilikuwa haimkubali hata kdg
Alipoiba we kama uliyeibiwa ulichukua hatua gani? Au ulitulia tu kana NDEZI?Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
*Vyeti feki.Unaweza ukaweka ushahidi wa wizi hadharani au ni ule ule umbeya wa facebook na twitter?. Unaweza ukaenda mahakamani kufungua kesi kwa haya uliyoyaanzishia kabisa uzi au ndio kilio kilio kile kisicho na sababu za msingi?.
Samia anahangaika anatembea duniani nzima na anapata pesa zinazotekeleza miradi mbali mbali, na yeye ikifika 2025 akipata ushindi wa asilimia 85 au 90 ataambiwa kaiba kura!!.
Hizi ni akili ambazo haziwezi kumshawihi mtu makini akaziunga mkono. Kumbuka kuna maisha ya nyuma ya keyboard na kuna yale ya mtaani, ni vitu viwili tofauti.
Kila mtu anajua magufuri aliiba kura,labda ulikuwa mmojawapo wa waliomsaidia kuiba kuraNi wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Maamuzi ya kufanyaje? Ya kuua watu na kuwatia kwenye mifuko?Mbali na mapungufu yake kama binadamu, jamaa alikuwa mtu wa maamuzi... RIP JPM
majibu yenu ya kitoto sanaAlipoiba we kama uliyeibiwa ulichukua hatua gani? Au ulitulia tu kana NDEZI?
Aliiba kura hilo lipo wazi , kwani wasimamizi hawajui?Unaweza ukaweka ushahidi wa wizi hadharani au ni ule ule umbeya wa facebook na twitter?. Unaweza ukaenda mahakamani kufungua kesi kwa haya uliyoyaanzishia kabisa uzi au ndio kilio kilio kile kisicho na sababu za msingi?.
Samia anahangaika anatembea duniani nzima na anapata pesa zinazotekeleza miradi mbali mbali, na yeye ikifika 2025 akipata ushindi wa asilimia 85 au 90 ataambiwa kaiba kura!!.
Hizi ni akili ambazo haziwezi kumshawihi mtu makini akaziunga mkono. Kumbuka kuna maisha ya nyuma ya keyboard na kuna yale ya mtaani, ni vitu viwili tofauti.
Mungu akuongezee umri mrefu mkuu Wangu.Waterezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Nimeuliza swali moja!unataka tuweke zile video za wizi wa kura ambao hata maaskari waliiba?
Ni kwanini walizima mitandao ya kijamii waliogopa nini
Ulivyoyaona ndo kitoto, we kama mtu mzima umemuona mwizi anakuibia, unachukua hatua gani? Napima ukomavu wako wa kupambana na wezi wa hadharani uliowaona wakikupora.majibu yenu ya kitoto sana