Search results

  1. N

    Hao nao ujiepushe nao

    2 Timotheo 3:1-5 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, wasiopenda wa kwao,wasiotaka...
  2. N

    TUNATOA HUDUMA ZA USAFI WA MAJUMBANI. Bei zetu night nafuu mno

    Habari zenu wana jamvi DAR-MAID CLEANING SERVICE (huduma iliyosajiliwa na yenye bima kwa wateja) tunatoa huduma za usafi wa majumbani kwa bei nafuu mno. Bei zetu zinaanzia 8000 -mpaka 19000 tu kwa huduma kutegemea na huduma uitakayo. Kwa wateja wa kila siku tunawapa punguzo zaidi la bei...
  3. N

    Kwanini CHADEMA hawafungui kesi Kupinga udikteta kama upo?

    Nimewataja chadema kwa kuwa wao ndiyo viherehere kwenye hili. Wanadai haki za kikatiba zinakiukwa kwa mfano ukandamizaji wa demokrasia na hapa wanamaanisha mikutano na kuandamana haki ya kuongea na hapa wanamaanisha haki ya kutukana na kudhalilisha viongozi n.k Tuwaulize chadema kwanini...
  4. N

    Natafuta masoko mikoa ya kusini ili nisafirishe na kuuza dagaa wa mwanza

    Habari. Najihusisha na biashara ya dagaa wa mwanza natafuta masoko katika mikoa ya kusini. Ambaye atataka kununua au anamjua mfanyabiashara atakayehitaji aje PM tuyapange
  5. N

    Ninawaalika vijana wasio na kazi kwenye mobile toilets project

    This is opportunity! Came and join. Ambaye yuko interested aseme na atoe namba ya simu au ni Pm nimetoa wazo na nitacoordinate . Cha kukumbuka ni mawazo yenu yanatakiwa tu make it happens. Wazo limejenjwa kwenye msingi kwamba abiria wengi wa mabasi hawana pa kujisitiri kwenda haja ndogo...
  6. N

    Unawezaje ku-deal na mtu wa karibu yako asiyependa maendeleo yako

    Utawezaje ku-deal na situation au mtu wako wa karibu asiye penda maendeleo yako? Yawe ya kiroho ana ku-discourage, ya kiafya utasikia "unajisumbua tu na hayo mazoezi" yaani no support at all.Ebu tuelezane namna ya kufanya.
  7. N

    Strictly for Ladies

    Hey there! Please if you are not a lady stay out. Wadada wenzangu habari! Lengo la kuanzisha uzi huu ni kuwaomba tuongee na kushauriana mambo yanayotuhusu sisi Wadada /wanawake. Kumekuwa na post nyingi humu zinazotukandamiza,kutunyanyasa kutusema vibaya hata nyingi kututukana. Lakini tukiwa...
  8. N

    Tikiti zangu zinanyauka majani- msaada wa mawazo tafadhali

    Naomba kujua sababu inayofanya majani ya tikiti niliyopanda yananyauka na kukauka wakati ninamwagilia maji ya kutosha. Nilijaribu kuangalia mizizi yake nikaikuta mizima na yenye maji Naomba pia kujua nini cha kufanya
  9. N

    Mmekupachika jina 'kukurupuka' kutokana na hasira,Wivu na hofu yenu

    Nianze kwa kusema Magufuli an ati shiatsu uhai wa vyama vya sasa na kwamba kwa kuwa anatekeleza vizuri majukumu yake wana HOFU ya wao kukosa soko na kutouzika kwa wananchi ukiangalia vizuri mtu kama mnyika na mdee huwezi wasikia sana kwa kuwa wanajua hawana hoja. 2.Baadhi ya wanaompiga Magufuli...
  10. N

    Naomba kujua mshahara wa District coordinator-sikika

    naomba kujua mshahara wa hawa watu kwenye position ya district coordinator.
  11. N

    Watanzania ni wanafiki tusiojitambua

    Wakati Kikwete akiwa rais kila mtu aliongea mpaka mtoto mdogo. Wapo waliosema 'Eti mpaka mchanga wetu wa dhahabu unatoroshwa nchini, mara ohh tunaachiwa maandaki, mara hoo mafisadi na ufisadi umezidi nchi hii" Kila mtu ataweza kukuorodhoshea mabaya kibao yaliyotokea kwenye miaka 10 ya utawala...
  12. N

    Nauza shamba la heka 10

    Shamba liko kijichi cha nkare handeni kwa yeyote ambaye angependa awasiliane na mimi kwa namba 0768249494
  13. N

    Mabenki yanayotoa mikopo ya ujenzi wa nyumba

    Kwa yeyote anayejua benki zinazotoa mikopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba na masharti yake tafadhali nijulishe
  14. N

    Natafuta marafiki Arusha

    Habari zenu. Nina wiki ya tatu sasa kwenye huu mji wa watu, nimehamishiwa hapa kikazi mgeni na sina marafiki. Kwangu mimi marafiki wanathamani ya pekee katika maisha yangu.Nawakaribisha wote, wa kike na wakiume, mimi ni msichana mchangamfu na napenda marafiki.Tafadhali ni PM kama unania.
  15. N

    Kwa nini nasema CCM itashinda Igunga

    Ushindi wa CCM Igunga ni obvious kutokana na sababu moja kuu, kwamba wapiga kura ni watu wenye uelewa mdogo sana kuliko mimi na ww, na wale wenye uelewa mkubwa tuseme wasomi ndiyo hao ambao mara nyingi huwa hawapigi kura.<br>Uelewa mdogo wa mambo yanayoendelea nchini unaweza kuulinganisha na...
  16. N

    Looking for a person to work on Research and consulting services

    Natafuta mtu ambaye yuko tayari kushirikiana naye kwenye consultancy firm yangu ambayo natarajia kuianzisha soon nikisharudi nyumbani. Vigezo awe amefanya economics au sociology na ni mtatifi mzuri.Tunaweza wasiliana kwenye private mail.
  17. N

    Mkapa ni mtu wa Msumbiji??

    Mimi hili linanitatiza, labda wenzangu mnalo jibu.Wapo wanaosema kuwa Rais mstaafu ni raia wa Msumbiji na wala si mtanzania, eti aliingia kule Kusini akiwa na umri wa miaka mitano wakati huo na baba yake. Wapo wanaoangalia matendo yake na kuona ni ya ajabu ajabu.Kama tunakumbuka Mtikila kipindi...
  18. N

    Nabisha hodi wana JF

    Nimekuwa mpenzi wa hili jamvi,na leo nimeamua kupiga hodi nikaribishwe kikaoni badala ya kuwa mshuhudiaji kwa mbali.natumaini kupokelewa na kujifunza mengi toka kwenu.
Back
Top Bottom