Tikiti zangu zinanyauka majani- msaada wa mawazo tafadhali

Nwaigwe

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
1,053
913
Naomba kujua sababu inayofanya majani ya tikiti niliyopanda yananyauka na kukauka wakati ninamwagilia maji ya kutosha. Nilijaribu kuangalia mizizi yake nikaikuta mizima na yenye maji
Naomba pia kujua nini cha kufanya
 
Pole kiongozi

Tunaomba kufahamu yafuatayo
1. Umeshaweka mbolea zipi mpaka sasa tangu ulipopanda, na uliweka kwa kipimo gani

2. Umetumia dawa zipi za wadudu au ukungu?

3.Unapovuta ng'oa huo mche/kuangalia mizizi, je unaikuta mizizi haina rangi kama ya brown hivi au vinundu nundu vimejitokeza pembeni ya mzizi?

4. Majani yana dondoka chini yakinyauka au yanabaki hapo katika mti?

5. Majani hubadilika rangi kuwa kahawia au hubaki ya kijani tu lakini mmea unachoka tu/kuishiwa nguvu/kunyong'onyea

Ukiweza upload picha japo mbili hivi

karibu

Mkuu hili tatizo mie nalipata sana la majani ya tikiti kukauka na mengine kama yameungua. Yana siku ya 23 toka germination. Dawa za ukungu ninazo tatu wiki ya kwanza nlipiga Ridomil, Last week nkapiga Supergrino na wikiendi ntapiga Megasin.

Nafanya mchanganyiko huu nkiamini dawa hizo zina viambato tofauti. Ni kama asilimia 70% ya mimea ndo imeathirika. Sijajua kujikunja huku majani shida ni nini. Mwanzo kulikua na wadudu weupe chini ya majani bt nlipotumia Confidor waliisha

Nina shida pia kwenye papai kuna siku nlikuuliza ushauri ukasema zina upungufu wa nitrojen kwahio nkapiga Urea lakini sioni mabadiliko.

Naomba ushauri wako mkuu

1478194186560.jpg

1478194240260.jpg

1478194263877.jpg
1478194273087.jpg
 
Naomba kujua sababu inayofanya majani ya tikiti niliyopanda yananyauka na kukauka wakati ninamwagilia maji ya kutosha. Nilijaribu kuangalia mizizi yake nikaikuta mizima na yenye maji
Naomba pia kujua nini cha kufanya
Mkuu umezidisha mbolea au dawa hasa farmzeb!
 
Looks like dehydration, unamwagilia mara mbili? Maji ya kutosha? Na pia u need kupiga booster ya majani
Tikiti zinapata maji kila siku labda kama wamaanisha papai ndo zina dehydration maana napiga maji mara mbili kwa wiki
 
Mkuu hili tatizo mie nalipata sana la majani ya tikiti kukauka na mengine kama yameungua. Yana siku ya 23 toka germination. Dawa za ukungu ninazo tatu wiki ya kwanza nlipiga Ridomil, Last week nkapiga Supergrino na wikiendi ntapiga Megasin.

Nafanya mchanganyiko huu nkiamini dawa hizo zina viambato tofauti. Ni kama asilimia 70% ya mimea ndo imeathirika. Sijajua kujikunja huku majani shida ni nini. Mwanzo kulikua na wadudu weupe chini ya majani bt nlipotumia Confidor waliisha

Nina shida pia kwenye papai kuna siku nlikuuliza ushauri ukasema zina upungufu wa nitrojen kwahio nkapiga Urea lakini sioni mabadiliko.

Naomba ushauri wako mkuu

View attachment 428959
View attachment 428960
View attachment 428961View attachment 428962
Pole sana
Hizo dawa mbili mbali ya rido sizifahamu hebu niandike active ingredients zake ,sawa nitakua na jibu. Mostly huwa tunakinga na kutibu magonjwa ya fungus ila tunasahau ubwiri unga (powdery mildew) na kutu ya majani (rust),haya ni magonjwa yanayoshambulia saana tikiti na huwa yanaanza kwa majani kua njano kisha ndio yanashika ,kama unataka kua safe unapiga broadspectrum fungicides kwa kukinga ni zenye mancozeb pekee kama ivory 80 na za kutibu magonjwa yote ya fungal ni zenye azoxystrobin na difenoconazole kama OTHELO TOP .
daa ya powdery mildew ni previcur energy a dawa ya kutu ni score ,ukichek gharama zake bora ununue othelo top imalize yote.
Poa kama kuna majani yalishambuliwa na wadudu basi huwa yakijikunja hayarudi kua kawaida ,so kufahamu kama wadudu wameisha tazama majani mapya .
Ahsante sana
 
Asante mkuu. Naomba kujua ingredients za hio Othero Top ili kama ntaikosa nitafute fungicides zenye viambato hivo
 
Back
Top Bottom