Search results

  1. Galamtogela

    Historia ya Tuntemeke Sanga

    HISTORIA YA TUNTEMEKE SANGA MBUNGE WA ZAMANI WA MAKETE. Tarehe 8 Desemba 1930 huko Lupaso, kijiji cha Bulongwa, Njombe, alizaliwa mtoto wa kiume mwenye afya tele. Mtoto huyo, ambaye alikuja kuweka historia ya kipekee nchini, si mwingine bali ni TUNTEMEKE MESAKA NNUNG`WA SANGA. Wazazi wake...
  2. Galamtogela

    Jicho Pevu ya KTN inayorushwa Azam Two ni mfano wa uandishi Uliokomaa

    huyu Mohamed Ali ni mwandishi hodari sana binafsi nimemkubali kweli amejitoa mhanga issue za madawa ya kulevya pamoja na ufisadi vinahusisha watu wakubwa ndio maana JPM ameomba watanzania wamuombee dua ,
  3. Galamtogela

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hivi hii huduma ya FAST TRACK katika hospital za serikali awamu hii ya 5 ,binafsi sizipende maana naona kama ni ubaguzi wa wenye nacho nawasionacho. Ningetamani raisi JPM azipigechini wote ni sawa, wadau mnasemaje?
  4. Galamtogela

    kwa walio angalia kipindi cha morning trampet leo asubuhi ktk king'amuzi cha AZAM,

    mtangaji wake alionesha sijui ni uzalendo au hofu kashindwa kusoma maelezo katika uchambuzi wa vichwa vya habari mmagazetini jina la bosi wake yaani SSB kuwa nae amekwepa kulipa kodi ,hii imekaaje wadau?
  5. Galamtogela

    Sumaye haeleweki anachosimamia

    Mimi huwa simuelewi anayoyaongea ,mfano akieleza kuwa ccm haijawafanyia kitu wananchi basi miongon wa kuwalaumu ni yeye kwakuwa alikuwa miongoni mwao tena PM ,ndio maana kiongozi mmoja mstaafu akaamua kuwaita malofa, neno halikuwahusu wana chadema wote ,sasa nawao wameamua kujiita hivyo,
  6. Galamtogela

    Msigwa aliposema mkutanoni alikuwa anaota?

    naomba kujuzwa ,mchunga Msigwa Anaongoza Kanisa Gani Pale Iringa ?
  7. Galamtogela

    Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) yaanza kutoa orodha ya waliochaguliwa kwenda Vyuo Vikuu

    wachina wanamsemo wao kwa lugha ya kizungu ni"no research no right to speak" nakushauli kabla ujawalaumu waislam kwamba elimu hawataki tafuta vitabu then soma ujue mambo yaliyofichwa kwa makusudi mfano kitabu KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA By Padri JOHN SIVALON. Au nenda google tafuta...
  8. Galamtogela

    Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Bora binti wa kambo. Kuna kabinti kamemtega babayake mdogo kabisa na kuanza kutembea nae.jamaa namlaumu sana mtoto wa kaka yake wamezaliwa tumbo moja kabisa ameshindwa kujua zamana aliyopewa na kaka yake .issue ilikuwa binti alifeli kidato cha 2 akasafilishwa kuja hapa ruvuma kutafutiwa shule...
  9. Galamtogela

    Hivi kuna ubaya wowote kujua idadi ya wakristo na waislamu Tanzania?

    mh .... Uongo kwani kuomba chuo kikuu unaomba chuoni moja kwa moja au wanakuchagua kupitia Tcu.
  10. Galamtogela

    Ukitaka kumjua kama mtoto wako atakujakuwa mwanasiasa

    kuna mwandishi anaitwa Ibrahim Hussein ameandika vitabu vingi mfano ki tabu kinaitwa MASHETANI.nasema ukiohujaelewa ujue sijakutungia wewe.
  11. Galamtogela

    Ukitaka kumjua kama mtoto wako atakujakuwa mwanasiasa

    Mama mmoja na mumewe walitaka kujua kama mtoto wao anapenda sana nini kati ya uanasiasa,ufanyabiashara au upadri.. Ikawa hivi. Waliweka chini ya mlango biblia,note harari ya elfu 10 pamoja na chupa bia iliyokuwa haijafunguliwa. Mtoto wao alivyofika alivikuta vile vitu . Alifanya yafuatayo...
  12. Galamtogela

    Hivi jamani nini maana ya uvaaji wa pete kwenye vidore

    Watu wamavaa tu pete bila kujua maana zake kutoka kidore kidogo mpaka kidole kikubwa cha mkononi je naweza kufahamishwa maana ya kidore kimoja baada ya kingine .
  13. Galamtogela

    Msaada wa kujua wapi nitapata kemikali za printing Dar es Salaam

    Wadau ninaomba msaada wa kupajua wapi panapouzwa kemikali za kuprintia (printing) mfano MESH WIRE, PHOTO-EMUSION & INK, jijini Dar es salaam. Kama nitajuzwa na gharama zake nitashukuru.
  14. Galamtogela

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwl idara ya sekondari wakubadilisha nae. mimi niende wilaya ya songea manispaa yeye aje wilaya ya mbinga .
  15. Galamtogela

    Je, kozi ya diploma in optometry ina nafasi gani kwenye ajira?

    jamani mbona naona kama hakuna connection na mada husika.
  16. Galamtogela

    Hivi jina ulilopewa na wazazi/walezi unalipenda?

    kwa lugha yao inaweza kuwa siyo tatizo akija bongo lazima itakuwa noma
  17. Galamtogela

    Hivi jina ulilopewa na wazazi/walezi unalipenda?

    huku songea majina mengi yanahusiana wanyama. Mfano nguluwe,simba, mapunda nk sijui ilikuwaje?
  18. Galamtogela

    Hivi jina ulilopewa na wazazi/walezi unalipenda?

    lakini ukweli ni kwamba jina lako likiwa baya hata kujitambulisha unaona aibu.
  19. Galamtogela

    Hivi jina ulilopewa na wazazi/walezi unalipenda?

    duh. Nimelipenda hilo la kimfwindile naweza kujua linatoka kabila gani na nini maana yake? Ila kuna baadhi ya majina siyo ya kuwapa watoto mfano UKAWA lazima mtoto awe mbishi. Au sielewi hapo akiwa haelewi kweli usilaumu
Back
Top Bottom