Hivi jina ulilopewa na wazazi/walezi unalipenda?

Galamtogela

Senior Member
Aug 25, 2013
102
27
kuna watu wanawapa watoto wao majina kutoka makabila yao au yenye uhusiano na dini zao .lakini je jina ulilopewa na wazazi/walezi wako unalipenda au ipo haja ya kubadilisha .sikusudii zile A.k.a kama wanavyojiita wenyewe.hapa ni yale majina rasimi .
 
Majina Yote Unayopewa Na Wazazi Wako Yanakuwa Na Maanayake
Matata
Sijali
Shida
Siyawezi
Kachimba
Lufunyo
Kimfwindile
Nguvila
Skitu
Sibongile
 
yeah liko poa tu..kuna jina jipya limeingia kwenye list, ambalo sitampa mtoto wangu ni UKAWA
 
yeah liko poa tu..kuna jina jipya limeingia kwenye list, ambalo sitampa mtoto wangu ni UKAWA

Au nape sijui mizengo, kingunge, chiku, kinana , makinda yaani ccm kuna majina ya ajabu mpaka mengine nashindwa kuandika kwa vile kikwetu yanatafsiri mbaya.
 
Majina Yote Unayopewa Na Wazazi Wako Yanakuwa Na Maanayake
Matata
Sijali
Shida
Siyawezi
Kachimba
Lufunyo
Kimfwindile
Nguvila
Skitu
Sibongile

duh. Nimelipenda hilo la kimfwindile naweza kujua linatoka kabila gani na nini maana yake? Ila kuna baadhi ya majina siyo ya kuwapa watoto mfano UKAWA lazima mtoto awe mbishi. Au sielewi hapo akiwa haelewi kweli usilaumu
 
Au nape sijui mizengo, kingunge, chiku, kinana , makinda yaani ccm kuna majina ya ajabu mpaka mengine nashindwa kuandika kwa vile kikwetu yanatafsiri mbaya.
Kweli kabisa, kama vile Tundu sijui la panya, Lissu, nk
 
Kwa tafsiri ya kiswahili ni "Kanyaga uone".........Nalipenda sana, kweli neno huumba.............
 
huku songea majina mengi yanahusiana wanyama. Mfano nguluwe,simba, mapunda nk sijui ilikuwaje?
 
sidhani kama kuna uhusiano wa majina na tabia, ila ni imani tu za watu, ila langu full raha, uswege mwakigenda mwakipesile mwakinyinyi mwaipopo mwasunda mwakatobe mwafirifiri.
 
huku songea majina mengi yanahusiana wanyama. Mfano nguluwe,simba, mapunda nk sijui ilikuwaje?

Tembo, mbawala, ngo-nyani, komba etc. Hizo zilikuwa ni tambo za koo mbali mbali kuonyesha ufahari na utofauti baina ya koo nyingine.
 
Back
Top Bottom