kwa walio angalia kipindi cha morning trampet leo asubuhi ktk king'amuzi cha AZAM,

Galamtogela

Senior Member
Aug 25, 2013
102
27
mtangaji wake alionesha sijui ni uzalendo au hofu kashindwa kusoma maelezo katika uchambuzi wa vichwa vya habari mmagazetini jina la bosi wake yaani SSB kuwa nae amekwepa kulipa kodi ,hii imekaaje wadau?
 
Ndiyo hali halisi ndugu yangu. Usitegemee ITV waseme mabaya ya Mengi au Star Tv waseme mabaya ya Anthony Diallo. Itakuwa muujiza.

La msingi we mpata taarifa ujue kuchuga habari. Mabaya ya Manji kwa mfano lazima yatiwe chumvi ITV. Si Tanzania tu, popote duniani ni hali hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom