Ukitaka kumjua kama mtoto wako atakujakuwa mwanasiasa

Galamtogela

Senior Member
Aug 25, 2013
102
27
Mama mmoja na mumewe walitaka kujua kama mtoto wao anapenda sana nini kati ya uanasiasa,ufanyabiashara au upadri.. Ikawa hivi. Waliweka chini ya mlango biblia,note harari ya elfu 10 pamoja na chupa bia iliyokuwa haijafunguliwa. Mtoto wao alivyofika alivikuta vile vitu . Alifanya yafuatayo; 1.alichukua bia akaangalia kama haija expire na kuionja pafu moja .2. Akangalia biblia kama imetimia kurasa akaweka kwapani. 3.akachukua zile noti na kuangalia kama ni harari akaweka mfukoni .then akakuingia navyo chumbani kwake vyote bila kuacha hata kimoja. Mama yake akawa anashaanga sasa atakuwa nani huyu mtoto ,dingi amechanganyikiwa chumbani akijisemeza peke yake "duh... a politician "
 
Back
Top Bottom