kwaTabora, Kigoma, Tanga (baadhi ya maeneo), Pwani, Lindi na Mtwara na kwa Zanzibar yote inaweza kuwezekana labda kwa 55/45 ila kwa mikoa iliyobaki inakuwa opposite
Unahitaji kuwa kichaa kusema waislamu wako 70% ya watanzania. Yaani unamaanisha katika kila watu 10 unaonana, 7 wanakuwa waislamu. Yaani huko Mbeya, Mwanza, Arusha, Iringa, Njombe, Rukwa, Dodoma, Kagera, Mara, Ruvuma, Shinyanga, n.k. unaweza ukapata waislamu 7 katika kila watu 10? Mambo mengine inahitaji utumie ubongo tu.