Search results

  1. Nyendeke

    Masista ni wakatili sana

    Daaaaa.., huu Uzi bana Mada iliyotolewa na comments za Wadau ni vurugu tupu!!!
  2. Nyendeke

    Hivi nina matatizo ya akili au vipi?

    Kwanza si lazima ueleweke, la msingi simamia kile unachokiamini!
  3. Nyendeke

    Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

    Mkuu Maada yako ni njema sana kwa Mustakabali wa Maendeleo ya Nchi yetu.., Lakini naomba kufahamu hao wanaomuunga Mkono na wanaompinga huo Mchujo umefanyikaje hadi kuja na Orodha hiyo ya hayo Majina?
  4. Nyendeke

    Nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba

    Mafisa ya Kibirashi ndugu Mjumbe sio?
  5. Nyendeke

    Naombeni pa kujiegesha wiki mbili

    Pambana Mkuu usirudi nyuma, hizo ni Changamoto za kawaida katika utafutaji.., Ungekuwa Dodoma ningekupa Msaada hadi utakapo kuwa tayari kujimudu!
  6. Nyendeke

    Changamoto za ndoa

    Pole sana Mzee.., labda alichoka kuwa Hawala Sugu, na kila akikucheki kwenye side Mirror anaona huna dalili za kusimama, akaona ajioengeze.., By then kama unamuhitaji arudi kwako fuata taratibu za Kumrasimisha ili awe Mke kihalali nakuahidi atarudi na heshima itakuwepo ya kutosha!!!
  7. Nyendeke

    Changamoto za ndoa

    Hiyo Ndoa toka imefungwa ina muda gani? Imefungwa kwa Misingi IPI? Je, kuna Mgogoro wowote uliokuwepo baina yenu na haukupata Suluhisho?
  8. Nyendeke

    Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Daaaaa.., Osie hii nhatai Mgosi..!!!
  9. Nyendeke

    Usafiri wa mabasi ya Moshi kutokea Dar

    Kidia One, Extra Luxury & Marangu Coach, Kilimanjaro, Dar Express etc..!!!
  10. Nyendeke

    Msaada: Naomba ushauri juu ya hizi course

    Fanya maombi Chuo cha CUHAS & KCMCO Kozi zote hizo unapata bila shida. Kila lakheiri..,
  11. Nyendeke

    Niliibiwa begi langu la mgongoni kwenye Bus ya BM iliyokuwa inatoka Dar - Dom

    Je, uliibiwa katika Mazingira gani Mkuu? Yani uliibiwa Bus likiwa Kituoni Mbezi/Shekilango ama mkiwa safarini ie sehemu ya Kula ama wakati abiria wanashuka Vituoni?
  12. Nyendeke

    INAUZWA Milango ya Mbao na Frame kwa Mbao za Mninga, Mkongo, Mbanda Kwa bei rahisi sana

    Frame unachonga kwa kiasi gani hadi kusafirisha?
  13. Nyendeke

    Maxence Melo: Changamoto za Vyombo vya Habari na kukosa Matangazo

    Nadhani nilichomaanisha ndio ulichochangia hapa!!!
  14. Nyendeke

    Maxence Melo: Changamoto za Vyombo vya Habari na kukosa Matangazo

    Jambo jema sana.., tunaomba akirudi Ofisini aondoe zile Nyuzi za Wazee wa Kubet na Wanywa Pombe mana ni Ving'ang'anizi kwenye top ten ya Wachangiaji wengi...!!!
  15. Nyendeke

    Arusha: Ashikiliwa na Polisi kwa kumuua kaka yake kwa kumzuia kumwingilia shemeji yake kimwili

    Ndio mana hawa Jamaa ukienda Hifadhini nao huwa ni sehemu ya Utalii. Ni ngumu sana kutofautisha Mnyama na Wazee wa Shuka Chupi Tako...!!!
  16. Nyendeke

    Mjusi apata ajali mbaya wakati akipunga upepo

    Hapa utakuta Jamii inanza kuilaumu Bangi bila kosa lolote badala ya akili Mchunga ya huyu Mr. Mjusi...!!!
  17. Nyendeke

    Plot4Sale Tunauza shamba la ukubwa wa hekari 239.165

    Ahsante kwa Taarifa Zumbe, lakini ungeongeza nyama kidogo kwenye Tangazo lako, mfano umesema lipo Wilaya ya Handeni, Je, Mji au Vijijini? Lipo karibu na Kijiji gani kikubwa au maarufu? Kutoka kwenye barabara kubwa mathalani Mkata hadi huko lilipo ni umbali kiasi gani? Weka na bei kwa Ekari au...
  18. Nyendeke

    Natafuta kazi, nina Degree ya Property and Facilities Management

    Mkuu kwanza hongera kwa kuamua kupambana na kukataa kulelewa kwa namna yoyote ile.., Aidha, kwa kuwa umeamua kufanya kazi yoyote, basi swala la Elimu liwe ni Sifa ya ziada ili uwape Wadau wigo mpana kwa kuzingatia kuwa "connection" moja huzaa nyingine.., Nikutakie kila lakheiri katika...
  19. Nyendeke

    Tuliowahi kukopa pesa kuanzisha biashara kisha biashara ikafa tukutane tujadili machungu

    Wengi wameingizwa Mkenge kwenye Biashara na wale Motivation Speakers.., Yani ile unakuja kutahamaki bidhaa Dukani zimeisha, inabaki Leseni ya Biashara inakuangalia tu!!! Kinachobaki ni kufunga na kuja night kutoa Mabango yenye Jina lako...!!!
Back
Top Bottom