Plot4Sale Tunauza shamba la ukubwa wa hekari 239.165

chingwanji.

Member
Apr 22, 2015
12
13
Hlw guys..
Fursa ya shamba lenye ukubwa wa hekali 239.16 linauzwa; Location "SHAMBA LINAPATIKANA KWADOYA VILLAGE HANDENI DISTRICT"
KATIKA SHAMBA HILO HEKALI 2 ZIMELIMWA MITI YA MITIKI..

DOCUMENT ZOTE ZIPO
CALL US 0739248371

20210615_135528.jpg
IMG-20210616-WA0016.jpg
 
Ahsante kwa Taarifa Zumbe, lakini ungeongeza nyama kidogo kwenye Tangazo lako, mfano umesema lipo Wilaya ya Handeni, Je, Mji au Vijijini? Lipo karibu na Kijiji gani kikubwa au maarufu? Kutoka kwenye barabara kubwa mathalani Mkata hadi huko lilipo ni umbali kiasi gani? Weka na bei kwa Ekari au lote ikibidi, Nakadhalika..,
Nikutakie kila lakheiri katika biashara yako...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom