Hivi nina matatizo ya akili au vipi?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,368
Hivi kweli mtu anaweza kuwa ana ishi bila kujua kama ana matatizo ya akili?

Mimi mwenzenu na shangaa saana watu wengi wananiambia kuwa awanihelewi kabisa yaani kuanzia maneno yangu mpaka vitendo vyangu na wengine Wana sema nimepungukiwa akili kabisa

Hata mimi mwenyewe kuna mda uwaga si helewi kitu

Mtu anaweza ni ambia iki kitu ni kibaya

Kama sijakifanya kitu kile siwezi kubali kabisa mpaka ni fanye alafu na mimi ule ubaya ni huone ndo na kubali

Na Kuna wakati huwa na kubali kupoteza pesa au kitu chochote ni pate kile Ninacho kitaka

Na nina bahati ya kupendwa na wanawake saana lakini kila mwanamke ninaye mtongoza ana ni kimbia wote sababu yao ni moja tu eti si heleweki kwenye mambo yangu licha ya mimi kuwa hivo nime kuwa mtu ambaye napataga maarifa mengi saana Na Nina ule moyo wa kujaribu kitu hata kama ni kigumu kiasi gani mradi tu ni ridhishe akili yangu.

Sasa kwasababu ya hivo naambiwa si heleweki Yaani mpaka kwasasa nimeanza kuwa mkimia mbele za watu au kufanya jambo lolote kwa watu ata kama nalijua nisije ambiwa sieleweki.

Sasa ndugu zangu kwasababu ya Ivo nimeanza kujihisi mpweke na nime kuwa mtu wa kulia lia sijui kama kweli akili sina au Nina akili ya namna gani na kuna wakati nimeshahanza kuhisi kichwa changu kizito saana na nisipo fanya kitu ninacho kitaka uwaga na hisi akili yangu ahiko sawa kichwani bora ni fanye ata Kama nitakosea ndo akili inatulia sasa.

Kama kuna mtu yeyote ambaye ana jua tatizo ili anihambie ili ni tafute tiba yake haraka saana.

Sorry kwa kiswahili chanza sijui kuhandika kiswahili sababu sio lugha yangu ya kwanza na sikujifunza Kiswahili shuleni bali nilijua tu mtaani labda kuna mtu ambaye ana weza kuongeya kuhusu muandiko wangu wa Kiswahili.
 
Anhaa una dalili mkuu za ugonjwa mmoja hivi unaitwa "Bipolar".. kujiamin sana,kutumia hela vibaya.
Kwa wewe ' kufikiri kwamba unapendwa sana na WAnawake' inawez kuwa too optimized, pia huo muda unaosononeka n kulia "periodic deppresion". Pia desire kubwa y kutimiz unachotak.
Hii ni bipolar kabisa n ubay huu ugonjwa kukubal Kam unao Ni shida. Hat mm ninao sijapon kwa sabb hiyo

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
usitake kila mtu akuelewe wewe fanya kitu inachokiona ni sahihi kwako bila ya kumdhuru mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom