Masista ni wakatili sana

md Nickson

New Member
Nov 5, 2021
3
9
Kuna shule ya Masister inaitwa Archangels pre and primary ipo Moshi mjini
Kuna sister pale mkuu wa shule ananyanyasa waalimu na wafanyakazi sana,maneno ya kashafa na kudhalilisha,hapeleki Mafao ya wafanyakazi NSSF .Mishahara midogo mno,na wazazi wanalipa 2milioni +.Naomba serekali ifuatilie hii shule.Mzazi.
 
Kwani shule ipo moja tu
Hujalazimishwa kuwa katika shule hiyo
 
Kwani si huwa hawaolewagi hao? Mpeni haki yake huyo muone kama hatokaa sawa akawa smooth kabisa

Aisee msifanye masihara na kileleni nyie
 
Kuna shule ya Masister inaitwa Archangels pre and primary ipo Moshi mjini
Kuna sister pale mkuu wa shule ananyanyasa waalimu na wafanyakazi sana,maneno ya kashafa na kudhalilisha,hapeleki Mafao ya wafanyakazi NSSF .Mishahara midogo mno,na wazazi wanalipa 2milioni +.Naomba serekali ifuatilie hii shule.Mzazi.
Uliona wapi wewe Taasusi hasa za hao wenye kilemba kumjali mfanyakazi.... Ukitaka kuwa weza anzisha kitu kinachoonekana kina future nzuri na faida kwa baadaye halafu ipige chini mwenyewe.....

Watakutafuta wenyewe tena kwa unyenyekevu mkubwa plus fedha tele....

Ukiwa nao kwenye Taasusi kama ya afya seminar utazisikia kwa jirani

Alikuwepo mmoja RIP, yeye na umri alio nao alikuwa na 78 hivi age yake kwenye kila seminar hata zinazohusu vijana nikiwa na maana mambo ya technolojia lazima umkute na hajui kutumia smartphone au laptops palikuwa patamu mnoo.... Nilikuwa nikimuona nafurahi maana anakaba mpaka golini

Vumilia kijana
 
Anayebisha na abishe kiukweli yupo sahihi kuna sister huyo alinifanya niwachukie kwa kipindi hiko alinipa kichapo mixer kuvutwa masikio kama punda kihongwe bt naamini sio wote ila wengi wao mh
 
Kuna shule ya Masister inaitwa Archangels pre and primary ipo Moshi mjini
Kuna sister pale mkuu wa shule ananyanyasa waalimu na wafanyakazi sana,maneno ya kashafa na kudhalilisha,hapeleki Mafao ya wafanyakazi NSSF .Mishahara midogo mno,na wazazi wanalipa 2milioni +.Naomba serekali ifuatilie hii shule.Mzazi.
Huyo ana stress za kutopigwa miti
 
Sema nawapenda sana wakikuelewa masister unakula mema tuu ya nchi na ya parokiani ahahah
 
Daaaaa.., huu Uzi bana Mada iliyotolewa na comments za Wadau ni vurugu tupu!!!
 
Kuna shule ya Masister inaitwa Archangels pre and primary ipo Moshi mjini
Kuna sister pale mkuu wa shule ananyanyasa waalimu na wafanyakazi sana,maneno ya kashafa na kudhalilisha,hapeleki Mafao ya wafanyakazi NSSF .Mishahara midogo mno,na wazazi wanalipa 2milioni +.Naomba serekali ifuatilie hii shule.Mzazi.

Kabila gani huyo sista? Tuanzie hapo kwanza. Maana ukatili inategemea na kabila lake.
 
Back
Top Bottom