Search results

  1. Mau

    Hivi TCRA wanaitambua hii biashara ya Vodacom?

    Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee. Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher? You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be...
  2. Mau

    Screen printing

    Habari za hapa bandugu, Nahitaji full set ya 6 colour screen printing machine kwa ajili ya business yangu mpya, pamoja na vifaa hivyo nitahitaji pia heat press machine for t-shirts and caps, ya mugs tayari ninayo nitafurahi kama nitapata msaada wenu. Simu yangu 0712000316
  3. Mau

    Dell vostro 270

    Wakuu wa janvi habari za kujishughulisha, ninaomba kwa anayefaham mahali nitaweza kununua DELL VOSTRO 270 Nitashukuru sana, nahitaji computer hiyo kwa ajili ya kazi zangu za ofisi coz nimeona ina specifications ninazohitaji mimi, nawasilisha
  4. Mau

    Photo Studio

    Habari za hapa wakuu, naombeni mnielekeze sehemu hapa mjini dar nitakapopata vifaa vya Photo studio kama Lights Softboxes Camera stand Reflectors Flashes Tripods Backdrops and Backdrop stand Nitashukuru kwa msaada mtakaonipa
  5. Mau

    Ncomputing thin clients

    Habari za kazi wadau, naombeni mnifahamishe nitakapopata thin clients za ncomputing nazihitaji kwa ajili ya business yangu ndogo. Nimezichagua hizo coz naona zitakuwa less expensive and easy to manage coz sina taaluma ya computa sana Nawasilisha
  6. Mau

    Nywele nyingi Song

    Habari za hapa wanajanvi, Jana usiku nilipita mitaa flani nikasikia wimbo unapigwa redioni, nikausikiliza kwa makini hadi mwisho sikuweza kutambua jina la wimbo ila kidogo niliweza kushika baadhi ya maneno, naomba kama kuna anayeujua huu wimbo anijulishe ameimba nani na unaitwaje. Mashairi yako...
  7. Mau

    Used Laserjet Printers

    Wakuu naombeni mnielekeze ni wapi hapa dar nitapata used LaserJet Printer hasahasa ya HP na Photosmart ya HP nipo katika hitaji la haraka naombeni mnielekeze wapi pa kupata vitu hivi. Asanteni
  8. Mau

    Movies

    Jamani wadau wa movies, naombeni mwenye kujua namna nitapata collections za movies zinazotoka china, kama vile za Alibaba nk. anijulishe manake nataka kama peaces elfu moja kwa ajili ya kuanza business pia bei yake iwe nzuri.
  9. Mau

    Nahitaji Movie Collections za wachina kwa bei ya jumla

    habari za hapa jamvini wakuu nahijaji collections tajwa hapo juu kama copy 1,000 kwa anayefanya biashara hiyo naomba ani PM nitatoa namba yangu pale ntakapopata PM yako
  10. Mau

    Legal Officer- TUWASA

    wakuu kuna nafasi ilitangazwa ya Legal officer na Mamlaka ya maji Tabora vipi mchakato wake uliishia wapi. Mwenye kujua naomba atujuze
  11. Mau

    Care International

    Bandugu kuna nafasi zilitangazwa hivi majuzi na Care international deadline ilikuwa 14 April vipi washaita? Manake kuna sred moja humu nimeona jamaa akiuliza mshahara wanaolipa Care kwa graduate. Naombeni mnijuze
  12. Mau

    Care international

    Jamani wana JF kuna nafasi zilitangazwa na Care international, deadline ilikuwa tarehe 14 apr mwenye kujua mchakato umefikia wapi atufahamishe
  13. Mau

    Nahitaji mashine ya kuosha magari

    Habari za hapa wakuu naombeni mnijulishe mahala nitapata mashine ya kuosha magari kwa steam (Steam Washer) Nawasilisha
  14. Mau

    Steam Washer

    Habari za hapa ndani wakuu, naombeni msaada wenu katika hili, natafuta mashine ya kuosha magari kwa steam naombeni mwenye kujua namna nitapata anipe maelekezo. asanteni
  15. Mau

    free internet

    wanajamvi naombeni mnifundishe namna ya kutumia proxy ili nipate free internet. Nimesoma post nyingi zinazohusiana na proxy nikifika katikati naambiwa trick hii haifanyi kazi. Jamani naombeni mnipe steps kwa ajili ya kupata huduma hii
  16. Mau

    Dogo Asley

    Ndugu zangu wana JF naombeni kwa yeyote mwenye namba ya simu ya meneja wa mwanamuziki Dogo Aslay au ya dogo mwenyewe anipatie either kwa kuniPM au kwa sms 0755737737 nina mchongo mzuri nataka nimpe huyu dogo
  17. Mau

    Outdoor LED Screens

    Habari za hapa jamvini wakuu, nahitaji kujua ni sehemu gani hapa dar naweza kupata Outdoor LED Screen ninunue kwa ajili ya kufanya Advertising, Kama kuna mwenye ujuzi na haya mambo naomba anigawie na kama kuna mwenye kujua ni jinsi gani ntaweza pata hiyo screen naomba anifahamishe. nitafurahi...
  18. Mau

    2011 Hollywood Movies

    Wakuu habari za hapa jamvini, natafuta Movies za hollywood 2011 kwa mwenye nazo naomba anijulishe nitamlipa kwa kadri tutakavyoelewana. Namba yangu za simu ni 0755 737 737 1. 5 Days of War (2011) 2. A Little Bit of Heaven (2011) 3. A Marine Story (2010) 4. Arthur...
  19. Mau

    TTCL Unlimited Download

    Unlimited downloads Packages Package Name Max. Download Speed (Kbps) Max. Upload Speed (Kbps) Monthly Price(TZS) Unlimited 256 256 256 45,000.00 Unlimited 512 512 512 70,000.00 Unlimited 1M 1024 1024 110,000.00 Unlimited 2M 2048 2048 200,000.00 Wakuu...
  20. Mau

    DvD Duplicator

    Habari za hapa jamvini wakuu, nahitaji DvD Duplicator yenye uwezo wa kutoa 10 copies at per. Kama kuna mwenye nayo au mwenye kuweza kunielekeza zinakopatikana nitafurahi sana
Back
Top Bottom