Nywele nyingi Song

Mau

Senior Member
Apr 8, 2009
176
10
Habari za hapa wanajanvi, Jana usiku nilipita mitaa flani nikasikia wimbo unapigwa redioni, nikausikiliza kwa makini hadi mwisho sikuweza kutambua jina la wimbo ila kidogo niliweza kushika baadhi ya maneno, naomba kama kuna anayeujua huu wimbo anijulishe ameimba nani na unaitwaje.

Mashairi yako hivi

Una Nywele nyingi,
Kichwani, kifuani, makwapani, mustachi
una nywele nyingi, una nywele nyingi....

Hayo ndo baadhi ya maneno niliyoyashika, naombeni msaada wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom