Search results

  1. K

    Laptop na Projector zinauzwa

    Taja bei na mahali ulpo mkuu!
  2. K

    Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

    Sio kujisahau huku ni kujitoa ufahamu!!
  3. K

    Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

    MTV Awards siyo KTMA! Ukipitia hzo comments directly hata kama siyo mtz unapata pcha watz ni watu wa namna ip! i appriciate evryone's feelings, you do what you feel at the right time, at the right place, with the right amount and in the right format!
  4. K

    Waraka kwako Abiria wangu (Binti) ninaekupaga Lifti asubuhi!!

    Kweli kabsa.. kama anaogopa ajirecord afu siku akimpa lift amwekee hiyo clip aisikilize huenda jamaa domo zege
  5. K

    Picha ya pamoja -- Wabunge na Raisi

    Kujipendekeza maana kuna mbunge mwanamama alikuwa akisukuma wenzake LIVE ili asimame nyuma ya kiti alichokaa Raisi!!!
  6. K

    Jaman mwenzenu mbona internet ya airtel kwa android inachelewa kufungua ?

    Internet ya airtel wamepunguza sana speed hadi kero!
  7. K

    Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

    Ha ha ha ... Wataisoma namba yake mgongon mwaka huu
  8. K

    Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

    Simba 1-0 kagera Dak 45- H. Tambwe
  9. K

    Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

    Goooooaal
  10. K

    Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

    Subir Dak 90 uje kucomment
  11. K

    Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

    Dak 15 Tambwe kakosa goli Simba Sc 0-0 Kagera Sugar
  12. K

    Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

    Tazama Channel TEN
  13. K

    Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

    Simba SC vs Kagera Sugar live on CHANNEL TEN
  14. K

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Hata me naona inawezakuwa Tanzania mana rais wetu anapenda kusafiri huenda wakamteka hukohuko angalan! lets pray for our country and presida!!
  15. K

    Mdahalo wa Katiba Mpya (The Way Forward)

    asante sana tumeshajiunga!
  16. K

    Sio kila mwanamke anajiuza, kuna agenda ya siri

    imeandikwa wapi kumtunza mwanamke ni jukumu la mwanaume? Na je, mwanaume atatunzwa na nani? Hiz ni iman potofu na ndo mana wanajiuza kwa mitazamo hasi kama hii. Nyie si ndo mnaosema haki sawa kwa wote??
  17. K

    Mchaga wa Uru na wa Machame hawafungamani

    kiongozi huwezi kuja na mada nzito kama hii kwa kusikia, ebu fanya utafiti wa kina na ikiwezekana uende kwa wahusika kupata taarifa kamili kuliko kupotosha watu kwa habari za kusikia!
  18. K

    Huu ndio mkasa wa tundo

    Mbona umenakili wimbo wa Bahati Bukuku?
  19. K

    DIT VS COeT, UDSM!

    kila jambo huanzishwa kukdh malengo fulan! thnk of long term planners and short term planners, c kwel kwamba BSc. in ....... eng. & BEng zpo sawa in terms of contents wanazofundshia au compitenc in solv'g problems within a related fields! wapo wanaoandaliwa kuwa short term problem solver na wapo...
  20. K

    Madhara ya kodi ya SimCard: Mazuri na Mabaya

    Hapa ni kama tuna waadaa watanzania! Kama kampuni inaingiza faida kubwa kama wachangiaje wanasema ni kwanini ishindwe kulipa kodi hadi mwananchi atumike kuilipia? mwananchi huyu huyu akinunua vocha/credit faida ni ya kampuni pia akinunua simcard faida ni kampun iweje kampuni ishindwe kulipa kodi...
Back
Top Bottom