Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Mods ina maana huyu jamaa hamjamuona ?. Anatuharibia jukwaa letu, bora aende jukwaa la siasa ndio wanaruhusu uongo kuriport habari kama zake

Hili jamaa lingewekewa jukwaa lake la watoto...... Paw tafadhali anatuharibia uzi huyu mwehu ubarinolutu.
 
Last edited by a moderator:
Tukutane kipindi cha 2 ngoja nipige funda kadhaa za maji hapa...
 
Wekundu wa msimbazi Simba leo watashuka uwanja wa taifa kuwakaribisha wakatamiwa wa kagera, Kagera Sugar, mchezo wa leo ni ''MUST WIN GAME'' kwa Simba baada ya kupoteza points kadhaa katika michezo 4 iliyopita.
Ushindi wa leo kwa Simba utawarudisha kileleni wa msima wa ligi, Simba imeongezewa nguvu zaidi baada ya wachezaji majeruhi Amis Tambwa na Nasorro Chollo kurudi uwanjani.
Mechi itaanza saa 10 kamili jioni na itakuwa live kupitia TBC1
UPDATE
Kikosi cha Simba
1. Abel dhaira
2. Nassoro chollo
3. Issa rashid ''baba ubay''
4. Hassan khatib
5. Joseph owino
6. Jonas mkude
7. Singano messi
8. Said ndelma
9. Amis tambwe
10. Amri kiemba
11. Zahoro pazzi
Half time Simba 1 Kagera Sugar 0
 
Back
Top Bottom