Search results

  1. dazenp

    Barabara kukatwa na wakandarasi halafu hawazitengenezi hakuna Sheria au Muda maalum

    Ningependa kujua kweli hakuna Sheria inayoweza kuwabana hawa wakandarasi wetu jamani tunaharibu magari yaani kwanini wakate vipande vya barabara halafu hawafanyi marekebisho eneo la njia Ya Mbezi kawe kupita kipande cha kwa Warioba
  2. dazenp

    Je Unaijua Historia Ya Ndege Ya Taifa --- Tulikotoka na Tulipo

    Hizi ni Picha za Ndege ya Taifa iliyokuwa inambeba Mh.Raisi wa Jamhuri Ya Tanzania kutoka enzi hizo tukiwa na Fokker tukaendelea kuwa na Foker hapo baadae tukaipa jina 5H - CCM na baadae ikaitwa 5H-ONE. Jeshi la Marekani wanazo pia kwa ajili ya viongozi wao kwa kwenda nchi zingine. Ndege 5H-ONE...
  3. dazenp

    TACAIDS na Mpango wa Kujinasua

    TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) inaiomba Serikali ipandishe kodi ya vinywaji vikali ikiwa ni pamoja na mvinyo na bia, na pia kodi katika vocha za simu ili Tume hiyo ipate fedha za kuanzisha Mfuko wa Ukimwi Tanzania. Maombi hayo yanakuja baada ya yale ya awali kwa makatibu wakuu...
  4. dazenp

    Star TV Arumeru Updates...

    Ndugu Wana Arumeru mmeona nakusikia mengi ndani ya kipindi cha wiki tatu na mmeshuhudia mengi ndani ya wiki hizo, mmepata kila aina ya viburudisho nikiwa na maana waimbaji tofauti wamekuja, maandamano marefu ya pikipiki yakiwa katika misafara ya viongozi waliokuja kutembelea Arumeru...
  5. dazenp

    Ni Mikoa Ipi itaongoza kwa Maandamano tukitaka Mapinduzi

    Ni Mikoa Ipi itaongoza kwa Maandamano tukitaka Mapinduzi
  6. dazenp

    Wale WANACCM wako wapi.......mbona wote twaponda

    Jamani wakati wa kampeni humu kulikuwa na watu kama malaria sugu na wengineo kibao wanamtetea mkwere kuwa ni kiongozi anayefaa......na kura za JF zilionyesha wazi CDM kitashinda ijapokuwa haikuwa hivyo machoni ila ndani ya moyo nilijua wazi CDM imeshinda sasa nataka kujua wako wapi wale...
  7. dazenp

    Looking for Apartment/House to rent.....

    Natafuta nyumba au vyumba vya kupanga.....vyumba viwili kimoja room na kingine kama sitting room,choo na bafu ndani....uwezo wangu 100,000.00 TZS na naweza lipa miezi sita mpaka saba kama advance......
  8. dazenp

    looking for a Apartment/rooms to rent

    Natafuta nyumba au vyumba vya kupanga.....vyumba viwili kimoja room na kingine kama sitting room,choo na bafu ndani....uwezo wangu 100,000.00 TZS na naweza lipa miezi sita mpaka saba kama advance......
  9. dazenp

    Mshikaji vipi...............

    Kuna siku niliamua let me treat my self out....nikaenda club....sasa kufika club nikamwona mrembo moja mzuri...nikawa namtizama nahisi akawa na yeye kimpango wake amevutwa akaja dancing floor kucheza karibu kabisa na nilipo simama, amecheza kama dakika 15 hivi tena anacheza ile sexy style nikawa...
  10. dazenp

    Elections 2010 I sense.............something wrong.....

    Jakaya Mrisho Kikwete (CCM) 2,010 21.92% Willibrod Slaa (CHADEMA) 6,292 68.62% Ibrahim Lipumba (CUF) 262 2.86% Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi) 484 5.28% Mutamwega Mugahywa (TLP) 121...
  11. dazenp

    Elections 2010 CCM Na vijizawadi hawajambo

    Cheeecheeee cheee ...........unapata dezo dezoooo.....mali zao sitaki kuuacha....sera zao hazilipiii....we CCM weee umeumbukaaa....... Jana nimekuta store moja imesheheni mzigo huuu huku Arusha nasikia ni Mpango wa kugawa....kwa wananchi wa Arusha pamoja na Tanzania Shillings 5000, mpaka...
Back
Top Bottom