Wale WANACCM wako wapi.......mbona wote twaponda

dazenp

Senior Member
Mar 11, 2009
101
12
Jamani wakati wa kampeni humu kulikuwa na watu kama malaria sugu na wengineo kibao wanamtetea mkwere kuwa ni kiongozi anayefaa......na kura za JF zilionyesha wazi CDM kitashinda ijapokuwa haikuwa hivyo machoni ila ndani ya moyo nilijua wazi CDM imeshinda sasa nataka kujua wako wapi wale walioitetea Serikali ya kidhalimu, Serikali ya Unyonyaji kwa watanzania na Serikali ya Uozo inayonuka rushwa na ufisadi wa kila aina........mbona hawapo wazi sasa au ndio wamegundua waliingia choo cha kike.......
 
jamani wakati wa kampeni humu kulikuwa na watu kama malaria sugu na wengineo kibao wanamtetea mkwere kuwa ni kiongozi anayefaa......na kura za jf zilionyesha wazi cdm kitashinda ijapokuwa haikuwa hivyo machoni ila ndani ya moyo nilijua wazi cdm imeshinda sasa nataka kujua wako wapi wale walioitetea serikali ya kidhalimu, serikali ya unyonyaji kwa watanzania na serikali ya uozo inayonuka rushwa na ufisadi wa kila aina........mbona hawapo wazi sasa au ndio wamegundua waliingia choo cha kike.......

wote wamekula ban
 
Jamani wakati wa kampeni humu kulikuwa na watu kama malaria sugu na wengineo kibao wanamtetea mkwere kuwa ni kiongozi anayefaa......na kura za JF zilionyesha wazi CDM kitashinda ijapokuwa haikuwa hivyo machoni ila ndani ya moyo nilijua wazi CDM imeshinda sasa nataka kujua wako wapi wale walioitetea Serikali ya kidhalimu, Serikali ya Unyonyaji kwa watanzania na Serikali ya Uozo inayonuka rushwa na ufisadi wa kila aina........mbona hawapo wazi sasa au ndio wamegundua waliingia choo cha kike.......

ROSTAM ameshatembeza mgawo kila kona.
 
Back
Top Bottom