Mshikaji vipi...............

dazenp

Senior Member
Mar 11, 2009
101
12
Kuna siku niliamua let me treat my self out....nikaenda club....sasa kufika club nikamwona mrembo moja mzuri...nikawa namtizama nahisi akawa na yeye kimpango wake amevutwa akaja dancing floor kucheza karibu kabisa na nilipo simama, amecheza kama dakika 15 hivi tena anacheza ile sexy style nikawa puzzled na the way anacheza.....nikaamua kumjoin dancing floor....

Sasa kumbe alikuwa na mshikaji wake that day....alichofanya akanipa tu her number mi nikaona ipo pouwa.....sasa the next day nikampigia tukaongea kumbe yupo na jamaa nikaona isiwe tabu nikatosa..... another weekend nikaenda club tena then ghafla nikamuona nikampa pini.....sasa nipo na jamaa zangu sehemu tumesimama tunacheki dancing floor kaja nilipokuwa nimesimama kanipa hug na kisses washikaji wakawa puzzled kama nilivyo mimi akaenda zake...

Later kanifuata niliposimama anaanza kucheza huku ananitizama naona ananiomba nicheze naye nikamwambia wala akaja kunifuata nashangaa mshikaji wake kanifuata eti mbona vile tena nikamwambia muulize mwanamke wako.....jamaa akaondoka demu hataki kuondoka nikahama pale....

Sasa akaniambia nipigie kesho mchana nimempigia kesho yake ananipa mchongo wa kuonana nikamwambia hilo weka kapuni siwezi staki ugomvi at all na mie najijua ni mkorofi kiasi sitaki....sasa nashangaa leo jamaa kanipigia eti oooh sitaki mazoe na demu wangu nashangaa kulikoniii Mshikaji vipi.....mawazo please
 
mmh mbona i kesiyenyewe ni fupi saaaaaaaaaaana?
demu haumtak+wa mshkaji+mshkaji mwenyewe mgomvi na kakupga bit tayar=?
we achana nae na usipige wala akipga usipokee kwanza kwa swaGA izo uyo si demu ata km ulikuwa unawinda apoo mmhh mmh apana akuna mtu apo .
uchune.kwan kakulia chako?kucheza nae tu?mpotezeeeeeeee
 
Achana nae, acha kumpigia, kutuma meseji au kupokea simu yake. Ikiwezekana hama kiwanja hicho hamia kiwanja kingine.
 
nimegonga thanks hapo@rose huo ushauri umetulia.......

"mawazo ya nini sasa! ! unagombea udiwani?"

Siombi udiwani bingirita......oops sorry i meant bigirita
 
@katavi thanks alot.....hapoo nimekupata full maana hapo sio naweza ishia pasipo stahili kisa mwanamke.......
 
Hivi zama hizi bado mtu unaweza kupigana na mshikaji kisa demu???????
 
hata cjaelewa kitu hapa, ngoja nirudie kusoma, labda imetokea nje ya tz
 
hata cjaelewa kitu hapa, ngoja nirudie kusoma, labda imetokea nje ya tz

Dah mshkaji kaandika kama verse ya muziki wa bongofleva,
wachana na hiyo binti bana, we wachunie wote (yeye + mshkaji wake) :whistle:
 
Dah mshkaji kaandika kama verse ya muziki wa bongofleva,
wachana na hiyo binti bana, we wachunie wote (yeye + mshkaji wake) :whistle:

Mi naona demu kampenda jamaa anacho takiwa kufanya ni kumega kudhihirisha wewe ni kidume.

Ukisha mega unampotezea kuepuka shari lakini kwa sasa hakikisha una mega.
 
Mpigie demu umle alafu unamtema kiana:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
oyaaa..dogo acha hizo weweeee...DEMU ANATAKA..wewe unaleta story ohh nishaurini ohhh sijui nini...wewe umejuaje kama basha wake hamkuni ipasavyo n she nid ur msaada?....

basha wake naye ana-za kizamaaaaaani mpaka basi.... mwambie amchunge mbwa wake wewe hukumpigia mluzi kakufuata mwenyewe...na mwisho wa siku hakikisha unamtafuta kwa mbinu zako zote za kigaidi/kiume zaidi na ummege huyo shorty kwa mitindo yoooteee...

ila kama unaogopa battle la basha wake ni-pm namba ya shorty mie nijitoe muhanga...mind you...shorty mwenyewe inabidi awe above standards coz am a man of my own standards....natumai dogo umenielewa bro wako..sawasawaaaaa?
 
Du! Who Cares? Unatisha kaka.
 
mambo kama haya nilikuwa nayaona miaka ile ya madisko toto kumbe bado yapo kweli nimezeeka. Huyo demu ni macho juu achana nae halafu una aka ngapi mtu wangu? haya mambo naona kama ya ma-teenager
 
Wewe ni sitaki nataka. Unajifanya hutaki kumbe unaumia kimoyo moyo. La msingi, kama humtaki kata mawasiliano yote.
 
oyaaa..dogo acha hizo weweeee...DEMU ANATAKA..wewe unaleta story ohh nishaurini ohhh sijui nini...wewe umejuaje kama basha wake hamkuni ipasavyo n she nid ur msaada?....

basha wake naye ana-za kizamaaaaaani mpaka basi.... mwambie amchunge mbwa wake wewe hukumpigia mluzi kakufuata mwenyewe...na mwisho wa siku hakikisha unamtafuta kwa mbinu zako zote za kigaidi/kiume zaidi na ummege huyo shorty kwa mitindo yoooteee...

ila kama unaogopa battle la basha wake ni-pm namba ya shorty mie nijitoe muhanga...mind you...shorty mwenyewe inabidi awe above standards coz am a man of my own standards....natumai dogo umenielewa bro wako..sawasawaaaaa?

Ok....this is an idea from an expert member and i want take it lightly......
 
Back
Top Bottom