Search results

  1. KILLERS KISS GUY

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Kwanza sijawahi kuona kokote Duniani anayeratibu maandamano akiwa ughaibuni kwenye kiyoyozi halafu anataka anayeishi Busega ndo aandamane, Huyu anayeratibu maandamano mwaka 2015 alipiga kelele kumunadi huyu wa sasa mpaka ilifika hatua alimuzalilisha Mh. Lowasa kwa kudai kuwa amejisaidia...
  2. KILLERS KISS GUY

    ITV yaomba radhi kwa kumhoji msimamizi wa uchaguzi

    Shida inayowakumba vijana wengi ni kuongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia na taratibu, katika kanuni na taratibu za uchaguzi msimamizi harusiwi kuhojia na chombo chochote kwa sababu kuu zifuatazo, moja kuhojiwa kwake kunaweza kumtoa kwenye concentration akashindwa kuwa makini na lolote...
  3. KILLERS KISS GUY

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Hiki no chombo kinacho hitaji weledi weledi was halo juu sana katika utendaji kazi wake, chombo hiki kina hitaji watu wenye IQ ya hali ya juu na siyo wababilaishaji
  4. KILLERS KISS GUY

    Mtwara: Nyalandu ashindwa kuhutubia mkutano wa CHADEMA baada ya kukosa ndege

    kadiri upinzani unavyokua na kuimarika haujitofautishi na ccm, hivi kwa chadema inakula matapishi yake huyu Nyarandu alisimangwa sana kuwa ni fisadi na ni jangiri lakini leo kapokewa kwa nguvu zote
  5. KILLERS KISS GUY

    Wahoji, mbona alipopigwa Ponda hatukumuona Lissu wala CHADEMA? Polisi waonywa kutoingia mtegoni

    baadhi ya mambo ya mambo tunapswa kuwa nayo makini udini si kitu kizuri hata kidogo tujitaidi kuepukana nancho kabisa.
  6. KILLERS KISS GUY

    Shaka: CCM hata akibaki mtu mmoja tutashinda tu na hatutaachia dola hata iweje

    CCM ni lazima ishinde kwa sababu hakuna chama mbadala chenye hadhi ya kupewa dola, Pili Ccm inabebwa na kazi nzuri anayoifanya Raisi Magufuli, Hapa raisi atakisaidia sana chama kwa kutumia mfumo wa Down ballot Effect ambapo sifa na kazi nzuri anayoifanya magufuli italibeba sana chama, Upinzami...
  7. KILLERS KISS GUY

    Orodha ya Marais wa nchi ambao husafiri kwa nadra nje ya nchi zao

    hivi kusafiri kunaliongezea nini Taifa? Tatizo akili mmeshikiwa na wwnyeviti wenu, Kikwete alishinda Angani mlilalama kama nn
  8. KILLERS KISS GUY

    Rais Magufuli kuwa imara kushikwa kwa bombadia ni pigo la kwanza kati ya kumi

    ukikosa weledi na hekima ya kuchuja kile unacho kinukuu kutoka kwa kiongozi wako wa chama unaweza ukawa mwendawazimu, Raisi fanya kazi yako vizuri, kwa weledi, na kwa umakini wa hali juu umeanza vizuri, unaendelea vizuri, utamaliza vizuri na hakika kama tiafa tumeshaanza kuona matunda yako...
  9. KILLERS KISS GUY

    Serikali yanyakua ardhi nyingine ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Frederick Sumaye

    Raisi anafanya jambo jema tena Mungu akulinde, ilifika hatua nchi ikakosa uelekeo kila kiongozi akawa anapokonya kilichoko mbele yake, Sumaye usisingizie siasa bali ujilaumu mwenyewe kwa kutumia uwaziri wako kupora aridhi ya wanyonge ambayo pia umeshindwa kuiendeleza, ulikimbilia upinzani kwa...
  10. KILLERS KISS GUY

    Ajira za Rais Magufuli zitalitikisa taifa kwa furaha

    Hivi ajira za walala hoi ni zipi? tatizo tunajipa unyonge usio stahili cha msingi ni kufanya kazi.
  11. KILLERS KISS GUY

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRA na kuivunja Bodi

    Raisi anafanya vizuri sana, lazima ifike hatua tumuunge mkono wote kwa pamoja na panapo stahili kukosoa basi tukosoe kwa staha, hawa walio tumbuliwa huwezi jua wamefanya nini mpaka wakapasuliwa jipu lazima kuna makosa wamefanya tu, sema najua wengi wanao ponda ni kwa kuwa tu kasimamisha ajira...
  12. KILLERS KISS GUY

    Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

    kwa mataifa ya Afrika demokrsia ya kweli inapaswa iaanzie kwenye ngazi ya chama ndipo ikue mpaka ngazi ya taifa, kwa nchi zetu hizi chama kinakuwa na nguvu kuliko hata katiba ya nchi, sasa vyama vyetu hivi vinaanza kubaka Demokrsia ndani ya vyama vyao hivo wanapokuja kwenye ya taifa wanafanya...
  13. KILLERS KISS GUY

    Naomba kuangaliziwa iwapo nimepata mkopo tafadhali

    huu mtandao wa heslb mbona ni shida aise?
  14. KILLERS KISS GUY

    Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    bodi ya mikopo mbona wanasumbua hivi toka jana naangalia account ya mdogo wangu haifunguki
  15. KILLERS KISS GUY

    Naomba kuangaliziwa iwapo nimepata mkopo tafadhali

    na namba hii S0894.0074.2011 msaada please
  16. KILLERS KISS GUY

    Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    naomba link maana kila mm ninapo chek heslb haifunguki.
  17. KILLERS KISS GUY

    Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    mdogo wangu ameandikiwa loan break down maana yake ni nini wana jf?
Back
Top Bottom