ITV yaomba radhi kwa kumhoji msimamizi wa uchaguzi

ITV yaomba radhi!!! Huu ni woga wa viwango vya kutisha. Chombo cha habari kinafanya kazi stahiki na baadaye kinaomba radhi. Tanzania so salama tena.
Kwa ushauri wako sheria na kununi zisifuatwe? Inakera sana hii tabia ya kupinga kila kitu
 
Hatimaye kituo cha televisheni cha ITV kupitia taarifa yake ya habari jioni hii kimeiomba radhi Tume ya Uchaguzi kwa tukio la mwandishi wao kumhoji msimamizi wa uchaguzi.

Duuu kweli sasa hv hamna mtu ana hema mbele ya utawala huu
Kuibiwa sanduku la kura wanaona sio tatizo, ila kuhoji ndio tatizo?
 
Magazeti na Tv, Naona vishapoteza cv/

Hakuna uhuru wa habari,wala taarifa ya habari/

Wanapindisha pindisha kuigopa serikali/

Nay Wa Mitego - Wapo.
 
Hatimaye kituo cha televisheni cha ITV kupitia taarifa yake ya habari jioni hii kimeiomba radhi Tume ya Uchaguzi kwa tukio la mwandishi wao kumhoji msimamizi wa uchaguzi.

Duuu kweli sasa hv hamna mtu ana hema mbele ya utawala huu
Kuomba radhi ni uungwana kama umekosea
Mengi ni mfanyabiashara makini,ni aibu kwa superbrand kufungiwa,mambo ya kufungiwa manunda ni Mwanahalisi na Tanzania daima
 
Kosa lao sio kumhoji msimamizi wa uchaguzi ila ni ile habari ya wasimamizi na polisi kubadilisha masanduku ya kupigia kura.

Ni sawa na kumfumania mwizi akiiba halafu wewe ndio uombe msamaha.
 
ITV ilijijengea heshima kama chombo imara cha habari kisicho yumbishwa hovyo ila sasa hv kimeyumba haswa..
ITV sasa hivi imepwaya
Imepigwa bit kidogo tu imesha nywea
Ha ha haaaa kweli sasa hv hatuna chombo huru tena cha habari
Watu wanaogopa kuaribiwa business. Unaweza ukasikia ITV imefungiwa
Sasa hivi tuko kwenye zama za Idd Amin kila mtu lazima apige goti kwa mfalme na ufanye atakavyo yeye siyo unavyotaka wewe
 
Yani cha ajabu mbowe ana miliki watu akisema twende wala hawafikiriii wanakwendra tu. Mwisho Majanga. Makonda pse mshughulikie Huyu criminal

Ndio tatizo la kukurupuka kama chama chako cha cccm, huelewi ulichokiandika, yan bora umeandika.
 
Wanaomba radhi mbona video inasambaa kama moto kwenye shamba la mabua
Mnajiaibisha itv na ccm yenu
Dunia imeona
 
Shida inayowakumba vijana wengi ni kuongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia na taratibu, katika kanuni na taratibu za uchaguzi msimamizi harusiwi kuhojia na chombo chochote kwa sababu kuu zifuatazo, moja kuhojiwa kwake kunaweza kumtoa kwenye concentration akashindwa kuwa makini na lolote linaweza kutokea, fikiria angekuwa mwandishi wa TBC akafanya hivyo implication ingekuwaje?
Pili huwezi jua baada ya msimamizi kuhojiwa nini kilitokea yawezekana adui alitumia mwanya huo kufanya yake hasa kurudisha sanduku la box.
 
Yani cha ajabu mbowe ana miliki watu akisema twende wala hawafikiriii wanakwendra tu. Mwisho Majanga. Makonda pse mshughulikie Huyu criminal
Pombe iendelee kupanga matukio ya uhalifu bar ukinywa akili ikutume kupiga waty risasi hii pombe haitak kukosolewa au kwa kuwa inaishi kwenye chupa nyeupe inafikr hata ikianguka haotopasuka pombe ni hasara
 
Back
Top Bottom