Orodha ya Marais wa nchi ambao husafiri kwa nadra nje ya nchi zao

hivi kusafiri kunaliongezea nini Taifa? Tatizo akili mmeshikiwa na wwnyeviti wenu, Kikwete alishinda Angani mlilalama kama nn
 
Hata Dar yupo basi tu anatamani ikulu ingekuwa kanda ya ziwa ajifungie huko asisafiri, unazungumzia nje ya nchi kwani ndani ya nchi kuna sehemu anasafiri zaidi ya mikoa ya kanda ya ziwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom