Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

SDG,
Tena hiyo DIA ni ya juzi hivi haina zaidi ya 16 years tangia kuanzishwa.

Ilianzishwa baada ya tukio la ugaidi la September, 11.
Asante sana ndugu kwa kunitoa tongotongo,
USA kwa ulinzi wake yupo makini sana,labda kwakua ana hela
 
Asante sana ndugu kwa kunitoa tongotongo,
USA kwa ulinzi wake yupo makini sana,labda kwakua ana hela

SDG ,

Karibu , mkuu.

Siyo kuwa ana hela bali "Sera kuu na ya kwanza ya USA ni kulinda RAIA wake dhidi ya hatari yoyote ile na popote pale walipo duniani, mwezini au chini ya ardhi"

Mfano, USA hata Kama mtu ni mkosefu nchi nyingine huko amekamatwa bado wataweka utaratibu wa kubadilishana na nchi mkamataji kitu chochote kile mfano, fedha au wafungwa ili RAIA wao arudishwe kwao.

Israel nao wameichukua hiyo mentality.

Africa yote bado tunacheza vigodoro kwenye hii nyanja ya kulinda RAIA wetu.

Hatujitambui kuhusu kulinda RAIA wetu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Nakubali,kwenye kulinda raia afrika imefeli sana,ila imejitahid kulinda WANASIASA AU WATAWALA
 
Nakubali,kwenye kulinda raia afrika imefeli sana,ila imejitahid kulinda WANASIASA AU WATAWALA

SDG ,
Mkuu,
Na hicho ndiyo chanzo cha kifo cha maendeleo yote ya Afrika.

Nguvu hiyo ingewekwa kulinda watu wote regardless their status maendeleo y angekuwa tele.

USA wanaamini kuwa mtu /RAIA yeyote anaweza kuwa kiongozi wakati na saa yoyote ile.

Mfano, Trump wengi hasa nchi zingine hawakumpa nafasi ya kushinda.
Ila kwa sababu, wao wanaamini kuwa yeyote anaweza basi ndiyo hivyo.

Angalau wao kwa 75% wanaona kuwa Raia (watu wote) ni Sawa Bali, Afrika RAIA ana haki kwa 1% ukilinganisha na wakubwa au watawala wenye uhakika na maisha yao kwa huko Afrika ni 100+%.
 
SDG ,
Mkuu,
Na hicho ndiyo chanzo cha kifo cha maendeleo yote ya Afrika.

Nguvu hiyo ingewekwa kulinda watu wote regardless their status maendeleo y angekuwa tele.

USA wanaamini kuwa mtu /RAIA yeyote anaweza kuwa kiongozi wakati na saa yoyote ile.

Mfano, Trump wengi hasa nchi zingine hawakumpa nafasi ya kushinda.
Ila kwa sababu, wao wanaamini kuwa yeyote anaweza basi ndiyo hivyo.

Angalau wao kwa 75% wanaona kuwa Raia (watu wote) ni Sawa Bali, Afrika RAIA ana haki kwa 1% ukilinganisha na wakubwa au watawala wenye uhakika na maisha yao kwa huko Afrika.100+%.
Nimeipenda analysis yako juu ya imani ya USA na raia wake
 
Nimeipenda analysis yako juu ya imani ya USA na raia wake

SDG
Mkuu,

Karibu.

Ila nasi tutafika tu japo miaka 100+ mbele kufikia hatua hiyo.

Maana, USA ina zaidi ya miaka 200+ tangia Uhuru na kuweka Sera Kama hiyo dhidi ya RAIA wake ila Sisi Afrika mfano Tanzania, ni robo ya miaka yao.

Tunaweza na tutafika huko nasi japo siyo leo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
dah hawa jamaa walichotaka kunifanyia leo ikulu dah kweli nmetokea kwenye tundu la sindano
 
Wadau
Kumekuwa ni minong'ono mingi sana na fununu juu ya nafasi ya TISS na kazi zao.
Nakumbuka kabisa kuna watu huwa wanafanya mambo ya kipuuzi na kijitanabisha kama TISS.Binafsi sijawahi kutana na mtu wa TISS moja kwa moja lakini kwa wale ambao nimewahi kuhisi kuwa ni watu wa TISS kuna mambo fulani ambayo nimejifunza toka kwao:

  • Huwa ni watu watulivu wasio na makeke mengi
  • Huwa sio wasemaji sana ni watazamaji na wasikilizaji
  • Huwa sio watu wa kujikweza na huwa wanajua wanachokitafuta na mara nyingi kwao hutafuta vile visivykuwapo
  • Sio washabiki wa mambo na mara nyingi hanaga opinions
  • Kazi yao kubwa naonaga ni kutambua tishio na kulithibiti kabla ya madhara
Kumekuwa na tabia hapa nchini ya watu kuhusisha upuuzi wa kisiasa na maswala ya Jinai kama vile tukio la kushambuliwa kwa mheshimiwa LISU na watu wa Usalama.Sisemi kwamba sio wao ila kama ni wao nafikiri that was too low of them.

Niulize tu kwa wale wanojua kwa hakika hii Idara ya Usalama wa Taifa ni askari Binafsi wa Rais au ni Intelligence Officers kama ninavyoelewa mimi na ambao huwa hawana maslahi binafsi bali huwa na maslahi mapana ya Nchi?

Nikipata Jibu kabla ya Mwaka kuisha ITAPENDEZA ZAIDI
Hiki no chombo kinacho hitaji weledi weledi was halo juu sana katika utendaji kazi wake, chombo hiki kina hitaji watu wenye IQ ya hali ya juu na siyo wababilaishaji
 
kuna mwanajukwaa aliandikaga humu..
national intelligence na state intelligence
ndivyo inavyokuwaga totally....kwa maslahi ya kiutawala..
 
SDG ,

Karibu , mkuu.

Siyo kuwa ana hela bali "Sera kuu na ya kwanza ya USA ni kulinda RAIA wake dhidi ya hatari yoyote ile na popote pale walipo duniani, mwezini au chini ya ardhi"

Mfano, USA hata Kama mtu ni mkosefu nchi nyingine huko amekamatwa bado wataweka utaratibu wa kubadilishana na nchi mkamataji kitu chochote kile mfano, fedha au wafungwa ili RAIA wao arudishwe kwao.

Israel nao wameichukua hiyo mentality.

Africa yote bado tunacheza vigodoro kwenye hii nyanja ya kulinda RAIA wetu.

Hatujitambui kuhusu kulinda RAIA wetu.
Mi nikifungwa USA nakataa kubadilishwa kurud bongo swiss me
 
scientist_tz ,
Mkuu,
Haaa haaa haa haaa haa.

Karipue Ubalozi wa Uswiss au wa Tanzania pale Washington DC ili ufungwe huko USA.
Bora jela ya USA naskia maisha matamu kinooma !!! yani msosi mtamu balaa TV kwenye chumba chako , muhimu choo cha kukaa , feni daah na vitab wanakununulia nasikia hadi ukiwa na hamu ya kugegeda wanakutaftia .... Aah bora usa
 
NATAKA KUKUMBUSHA PIA WALE WANAOMLINDA RAISI AU WALINZI WA RAISI WALE SIO USALAMA WA TAIFA .

KILE KINAITWA NI KIKOSI MAALUMU CHA KUMLINDA RAISI NA OFISI YA RAISI WALE WOTE UNAOWAONA WAMEVAA SUTI WENGINE UNIFORM ZA KAKI WALE WOTE NI WANAJESHI AMBAO NDIO KIKOSI MAALUMU LAKINI SIO USALAMA WA TAIFA.
ila usisahau pia watu wa TISS wakawepo pia kwa kuwa ni watu wasiojulikana
 
Uko sawa kabisa mimi sina siri wala sina kiapo,mimi nimehoji katika misingi ya uzalendo na ukweli kwamba kama mwananchi naamini kwamba sio sawa kwa TISS kuhusishwa na matukio ya kihuni na ni dalili mbaya kama TISS ambao wana wajibu wa ku neutralize mambo watahusishwa na maswala ambayo kimsingi yanashusha hadhi na heshima ya Taasisi

Over
Vitu vingine havihitaji ujuaji
 
Back
Top Bottom