Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

Maisha haya magumu muasisi wake mnamjua lakin....Nyerer me namkumba kwa kwa swala la kuondoa ukabira bt kwenye uongoz yeye ndo chanzo cha haya matatizo yote...alivotambua udhaifu wa katiba angesimamia ibadilishwe ili isumike vibaya kwa viongoz bt kwa vile na yeye hakpenda kutuhumiwa alipiga kimya...

Tena mkumbuke enzi za mwl nyerer akitaka yeye kila kitu aanze kusema yeye...afu kipindi cha uongozi wake watu wengi walikua hawajielew...mleteni leo muone atavochemka kuwa kizaz hiki ambacho kila mtu ni mjuaji...
 
Me ckua hata nimezaliwa bt nilishawahi simuliwa kua..kifo cha sokoine first president alihusika....ila ni story tu nilopewa ...na kama ni kwel basi kiongoz yeyote yule ni nyoka tu..
 
Ni kipi kinachomfanya Mkumbo aseme Magufuli hana falsafa?...

Falsfa ni nini?

Ni utaratibu upi aliokiuka Magufuli hadi sasa?

Kungekuwa hakuna demokrasia nchini Mkumbo angepewa nafasi kwenye TBC kubwabwaja?

JKN hawezi kufananishwa na Magufuli hata kwa sekunde.JKN alijitahidi kufuata Katiba na sheria tulizojiwekea.Kuna maeneo alikosea,lakini hakuvunja Katiba makusudi ili baadaye wsawazishe.ALiiondoa ile Sheria kandamizi ya mwaka 1928,Magufuli kailetea kwa sura mpya miaka 88 baadaye.

Alikuwa siyo mlarushwa wala fisadi,hakumiliki majumba ya kifahari wala hakuwa mwizi.Na JPM je?Zile bilioni 8 za Meli Mbovu,zile Nyumba za serikali alizojimilikisha,majumba ya ghorofa aliyonayo.

Hakika huwezi kufananisha kifusi na Mlima Kilimanjaro,kama alivyojisemea Mwinyi
 
Mtu gani hana huruma? Yaani mabilioni ya kagera yote hajawapa walengwa?
Walengwa wapewe fedha mkononi!!, hivyo ndivyo ambavyo serikali ya UKAWA ingefanya!!!??.

Tuseme labda kila kaya ingekuwa imepewa shilingi milioni moja, tangu tetemeko litokee mpaka leo hii hizo fedha zingekuwa bado zipo tu??.

Inakarabatiwa miundo mbinu na mazingira ya watu kuweza kufanya shughuli zao za kimaisha, na hiyo ndio kazi ya serikali.

Sio kushughulika moja kwa moja na maisha ya mtu mmoja mmoja.
 
kwa mataifa ya Afrika demokrsia ya kweli inapaswa iaanzie kwenye ngazi ya chama ndipo ikue mpaka ngazi ya taifa, kwa nchi zetu hizi chama kinakuwa na nguvu kuliko hata katiba ya nchi, sasa vyama vyetu hivi vinaanza kubaka Demokrsia ndani ya vyama vyao hivo wanapokuja kwenye ya taifa wanafanya yale yale ya kwenye vyama vyao
 
Falsafa ya Hitler ilikuwa ni nini? Mwalimu's philosophy was Socialism and self reliance. In that philosophy, democracy had its own definition completely different from today's.
Mzee Democracy ni ile ile mkuu, ila wajamaa na ma dictator wamejaribu itafsiri kwa namna yao ili nao wapate pwa kujificha kwani dunia imeenda fasta sana kuliko uwezo wao wa kiakili.Kitila nae kapitwa na wakati sana kifikra, anatetea roho yake kwa kujaribu jigeuza taratibu na kwa umakini sana watu wasimkumbushe kuwa miaka yote alijificha ktk ujamaa wa kindumilakuwili.
 
Mtu anapoamua kufanya kazi mnaanza siasa zisizokuwa Na msingi.tumekuwepo kwa bahati nzuri tawala zote nne sasa tupo tawala ya tano.kinachohitajika si kumfananisha MTU Na nani,hapana ni je ni nani anae weza kubadilisha maisha ya mwananchi wa kawaida.je NI nani anae weza kulinda Mali ya mwananchi wa kawaida.nae tayari watanzania wamempata nae ni huyo watanzania wamemuona.sijui nani amesema sijui nani kafananishwa ondoeni mawazo potofu muijenge nchi yenu.
 
kwa mataifa ya Afrika demokrsia ya kweli inapaswa iaanzie kwenye ngazi ya chama ndipo ikue mpaka ngazi ya taifa, kwa nchi zetu hizi chama kinakuwa na nguvu kuliko hata katiba ya nchi, sasa vyama vyetu hivi vinaanza kubaka Demokrsia ndani ya vyama vyao hivo wanapokuja kwenye ya taifa wanafanya yale yale ya kwenye vyama vyao
Tatizo ni kwamba wanaohubiri hili hubiri lako wengi ni pathetic liers.wanalitumia kuilinda ccm, na hii ni mojawapo ya stunts za huyo Mkumbo na ZITTO. VERY IRRESPONSIBLE .
 
bado moves nyingi za watendaji wa serikali hazionyeshi kujifunza sana ktk hili.
 
Mwalimu hakuwa fisadi, hakuwa muongo, hakuwa mtu wa visasi n.k. Ni makosa makubwa sana kutaka kumfananisha Magufuli na Baba wa Taifa hawana lolote linalofanana kati yao hata chembe.
Mwalimu hakuwa mnafiki. mathalani suala la Z'bar alilijengea hoja bila kupepesa macho na wale G55 walielewa.

hawa wengine waliopo sasa hawana hoja zenye kukidhi mazingira wala muktadha uliopo...wanatumia hoja ya nguvu. wanasema tu watahakikisha amani inakuwepo.

amani?

hiyo ni amani au ni ku-take for granted ule utulivu wa ndugu zetu wapole kule visiwani?
 
Mwalimu nae alibana demokrasia mpaka kina baba yake Masha akakimbilia marekani , Mohamed babu na mwingine nimemsahau Ilibidi wakimbie nchi.Tofauti ya JK na JPM ni kwamba wametawala karne tofauti .
Ni kweli kabisa. Nyerere hakuwa na Demokrasia wala hakupenda kushauriwa au kusahihishwa makosa.
 
Ni kipi kinachomfanya Mkumbo aseme Magufuli hana falsafa?...

Falsfa ni nini?

Ni utaratibu upi aliokiuka Magufuli hadi sasa?

Kungekuwa hakuna demokrasia nchini Mkumbo angepewa nafasi kwenye TBC kubwabwaja?
Hela za rambi rambi Mkuu saidia basi kuhimiza
 
Kambona pia yumo katika watu uliowasahau
Mwalimu nae alibana demokrasia mpaka kina baba yake Masha akakimbilia marekani , Mohamed babu na mwingine nimemsahau Ilibidi wakimbie nchi.Tofauti ya JK na JPM ni kwamba wametawala karne tofauti .
 
Ni kipi kinachomfanya Mkumbo aseme Magufuli hana falsafa?...

Falsfa ni nini?

Ni utaratibu upi aliokiuka Magufuli hadi sasa?

Kungekuwa hakuna demokrasia nchini Mkumbo angepewa nafasi kwenye TBC kubwabwaja?
Akili huna ameongea kitaalamu sana mtu wa falsafa ni mtu mwenye vision sio zima moto kama fulani ,phylosophy and assumption ziko permanent
 
Back
Top Bottom