Search results

  1. E

    Edwin Mtei asikitishwa na alaani kitendo cha Tundu Lissu kumtukana Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere

    Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu. Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu...
  2. E

    Haki ya Kuwa Huru, Kuishi na Kuchagua Viongozi

    Naandika Mada hii kutokana na matukio ya mfululizo kwa miezi kadhaa sasa, ambayo yanadhihirisha kwamba Serikali yetu, hasa Polisi , hawazingatii matakwa ya Katiba. Katiba yetu ya sasa inatamka katika Ibara ya 18(a) kwamba kila mtu anao uhuru wa kutoa maoni yake; na hicho ndicho kiini na chanzo...
  3. E

    Usajili wa Vyama vya Siasa Tanzania

    Nimesoma katika magazeti na humu humu jamvini katika michango ya wanaJF kwamba John Tendwa amependekeza kutungwe sheria itakayomwezesha, kama Msajili wa Vyama vya Siasa, kufuta chama kilichosajiliwa kikamilifu, hata kama kinawakilishwa Bungeni, endapo kitakiuka sheria au masharti. Tendwa...
  4. E

    Je, Tanzania tunadhamiria kuwa na demokrasia ya kweli?

    Niliandika wiki chache zilizopita juu ya wasiwasi niliokuwa nao kama Watanzania, hususan Serikali na Chama tawala wanadhamiria kwa dhati kuwa na demokrasia ya kweli. Nilitoa mifano ya Wabunge wa Upinzani walivyokuwa wanaburuzwa Bungeni na kukemewa na Spika akisaidiwa na Mhe. Werema, Mwana...
  5. E

    Tanzania Tunataka Demokrasia ya Kweli?

    Vituko vingi vya hivi karibuni vinadhihirisha kwamba Tanzania tunahitaji kujiuliza kama tunadhamiria kwa dhati kuwa na demokrasia ya kweli. Katiba yetu ya sasa, Ibara 18(a) inatoa haki na uhuru wa raia kutoa maoni na fikra zake (free speach), lakini uongozi, hususan polisi, wanaonekana hawajui...
  6. E

    WanaJF Tukutane Ana kwa Ana

    MwanaJF Dalai Lama kajitambulisha ni jirani yangu. Nilidhani ni Mkuu wa huko Tibet, akiishi karibu na Mount Everest. Kumbe anaishi hapa karibu na Mount Meru na anaweza kuona Mt Kilimanjaro akiwa nyumbani kwake. Karibu sana nyumbani Dalai Lama. Tunywe chai au kahawa, tubadilishane mawazo. Huenda...
  7. E

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    Licha ya kwamba J.K. kajitahidi kuwa na vigogo kweli kweli, na Katiba ya sasa imezingatiwa ktk kuandaa m'badala wake, muundo wa hii Tume umedhihirisha kwamba demokrasia ya kweli ni ndoto kwa Watanzania wa leo. Kama tunanuia kwa dhati kuwa na Demokrasis ya kweli, itabidi Watanzania wanaoamini...
  8. E

    Marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano

    Katika mjadala unaoendelea wa marekebesho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna malalamiko na lawama zinazoanzia Zanzibar kwamba mpangilio na utaratibu wa sasa umemshusha hadhi Rais wa Zanzibar na kumfanya Waziri wa kawaida tu ktk Cabinet ya Muungano. Malalamiko hayo yanaonyesha...
  9. E

    Babu wa Loliondo and Similar Doctors of Faith

    Babu wa Loliondo and similar doctors of faith, who have cropped up recently in several parts of Tanzania, in my view, are a manifestation of the breakdown of effective proper medical services. In an enviroment of widespread incurable diseases, like HIV Aids, which in many cases are caused by...
  10. E

    Nyerere Day: Maoni yangu

    Siku ya leo nimeitumia kutazama maadhimisho ya Siku ya Nyerere jinsi yalivyoendelea huko Kigoma. Halaiki ya vijana haikusisimua mpaka Rais Kikwete alipofika, naye kama kawaida hakufika mapema. Lakini baada ya kumalizika, nimejiuliza hivi kwa nini Serikali yetu imeamua kuadhimisha Tarehe 14...
  11. E

    Elections 2010 Wagombea u-Rais Watofautishe Mipango ya Taifa na Ilani za Vyama

    Nchi yetu imekuwa na Mipango ya Taifa ya muda Mrefu ambayo imekubalika kwamba itatekelezwa. Kila mwaka wa fedha mipango hiyo hutengewa fedha kutegemea na jinsi mapato ya taifa yanavyogawanywa. Mifano ni barabara. Makubaliano hata na nchi jirani yanataja kwamba barabara itajengwa toka Dodoma...
  12. E

    Elections 2010 Majukumu Makuu ya CHADEMA

    Nilipofunga kompyuta yangu asubuhi leo ili nishughulikie mambo binafsi yanayoniletea kipato, nilikuwa nimechangia kwa ufupi topic kwamba "Watanzania si Mabwege" any more. Mhe. Kinana alikuwa amenukuliwa au alijieleza kuhusu misimamo ya chama chake cha CCM, kwamba WaTz. si mabwege, na eti Chadema...
  13. E

    Udhibiti wa ubora wa bidhaa utathminiwe upya

    Tanzania Bureau of Standards (Taasisi ya Ubora wa Bidhaa Tanzania) ina jukumu la kukagua na kudhibiti ubora wa bidhaa zinazozalishwa viwandani hapa nchini na hutoa vyeti (Certificates) kwa wazalishaji na kupiga mihuri zile bidhaa inazoridhika na ubora wake kabla ya kusambazwa kwa walaji au...
Back
Top Bottom