Search results

  1. Hepatis B

    Tanesco Mbeya (Igawilo) kuchukua maeneo ya watu kwa nguvu

    Habari za mda huu! Naenda moja kwa moja kwenye Mada. Tanesco Igawilo jijini Mbeya wanataka kujenga kituo cha kupooza umeme. Kituo kikubwa kinachodhaminiwa na benki kuu. Shirika hili limeomba kujenga kipande cha barabara ya rami kutoka barabara kuu iendayo Malawi kwa ajili ya kusafirisha...
  2. Hepatis B

    Nini Tafsiri ya mtu anaesema hali mnyama wa miguu minne?

    Habari wandugu wa mda huu! Naenda moja kwa moja kwenye mada. Nimepata mdada wa kazi anaesema yeye hali mnyama wa miguu minne yeyote yule. Kuku anakula na samaki. Ila tukipika nyama ya ng'ombe, mbuzi hagusi yupo radhi alale na njaa. Juzi kati kuna rafiki alikuja kunitembelea wakati wa chakula...
  3. Hepatis B

    Msaada wa kuset google adsense account

    Habari wadau naomba msaada jinsi ya kuset adsense account. Nimeunganisha na you tube channel yangu nimejibiwa hivi mara mbili kila navyoconnect. Msaada tafadhali sijui nakosea wapi.
  4. Hepatis B

    Ligi kuu Tanzania bara

    Kwa kweli ligi kwa sasa ni tamu sana hongereni club zote zanazo shiriki ligi hii matokea ya michezo ya leo ni kwamba mpira sasa umeanza kueleweka kila kona ya Tanzania. Timu kubwa mjipange sana na mbadilike, mazoea sasa wekeni pembeni point tatu kuchukua sio rahisi kama ilivyokuwa zamani.
  5. Hepatis B

    Biashara ya kusafirisha nyama ya Nguruwe Morogoro - Dar-es-Salaam

    Kwa yeyote ambaye amewahi fanya hii biashara ya usafirishaji nyama ya nguruwe toka Moro to Dar naomba msaada wako. Naomba kujua njia ya usafiri uliyotumia, masoko, changamoto n.k Asante sana.
  6. Hepatis B

    Soko la mayai ya kienyeji linahitajika

    Soko la mayai ya kienyeji linahitajika haraka. Bei ya jumla kuanzia Tray 10 Chini ya hapo utauziwa leja leja. Mzigo unapitaka mara moja kwa week kama upo serious njoo pm tuongee. Mzigo wa kutosha.
  7. Hepatis B

    Natafuta soko la samaki wa Moshi toka Mtera

    Waungwana natafuta soko la samaki waliokaushwa na moshi toka mtera kama una link na maeneo ntashukuru pia. Mzigo upo wa kutosha.
  8. Hepatis B

    Natafuta kioo cha lenovo K5 vibe popote kilipo fully

    Kama kichwa cha habari natafuta kioo fully na touch yake cha lenovo picha hii hapa
  9. Hepatis B

    Nyumba inauzwa Mbeya Uyole

    Nyumba inauzwa bei Rahisi sana Uyole mbeya kiwanja kikubwa bado hakija isha inaweza jenga nyumba nyingine. Nyumba kubwa.
  10. Hepatis B

    Shule gani nzuri za English Medium Singida.

    Habari za mda huu wana jamvi samahani naulizia ni shule gan nzuri za primary English medium singida. Nimepata uhamisho huko na maisha kiujumla nataka kufahamu. Asanteni sana.
  11. Hepatis B

    Natafuta mabati used Mbeya

    Nipo Mbeya natafuta mabati used kama unayo nichek pm itafaa kama utataja bei na utakuwa na picha. Thanks.
  12. Hepatis B

    Shamba linauzwa Mbinga mjini eneo la lusaka ekari 3

    Kama kichwa cha habari kinavyosema eneo ni ekari tatu kamili barabara ipo viwanja vimepimwa karibu kabisa na hapo. Shamba linafaa kujenga, kupanda miti, kahawa na kilimo cha kawaida bei milion 4.5. Karibuni sana.
  13. Hepatis B

    Kwa waliolipwa fedha zao la fao kukosa ajira(PSSPF) tukutane hapa.

    Habarini wana jamvi! Naomba kujua kama kuna mtu kalipwa fao la kukosa ajira toka PSSPF, binafsi nipo Mbeya nimetoka jana kuuliza vipi lile agizo la mheshimiwa raisi wakasema niwe na subira watu wengi wameshaanza kulipwa fedha zao. Nikaondoka kiunyonge nikaone nijiridhishe hapa kama...
  14. Hepatis B

    Mheshimiwa Rais tunaomba tusaidie kupata fedha zetu za fao la kukosa ajira, sio PSSSF wala NSSF wote ubabaishaji tu

    Ikiwa karibu tunafunga mwezi March ni miezi mitatu sasa toka utoe tamko lako la kutaka watu walipwe cha ajabu hamna kinachoendelea ni ubabaishaji tu ni bora hata lile tamko lisingekuwepo la kusema tulipwe kumbe hamna kitu. Tunachojibiwa huko kinatuumiza sana pesa zetu tumetafuta wenyewe...
  15. Hepatis B

    Msaada kuhusu meter ya luku

    Habari! Samahan naomba msaada kwa mwenye ujuzi wa meter ya luku nimejaribu kuweka umeme nabonyeza namba hazifanyi kazi. Msaada tafadhali nifanyaje nisilale giza.
  16. Hepatis B

    Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    Nimekuwa na maswali mengi kuhusu biblia pindi navyoisoma na kukosa majibu au mtu wa kumuuliza kwa wale ambao Mungu amewapa uwezo wa kutafsiri kitabu hiki kitakatifu ninaomba mtupe majibu yenu hapa. Kwa kuanzia naomba niulize swali. Bible inasema Mungu alimuumba Adam na Hawa. Ila ukija kusoma...
  17. Hepatis B

    Nauza Projector aina ya ben q

    Nauza projector aina ya ben q model MP720p. ipo safi kabisa na original. Serious buyer ani pm tufanye business.
  18. Hepatis B

    Halmashauri ya jiji la Mbeya yauza viwanja hewa, mamilioni ya hela yaliwa

    Halmashauri ya jiji la Mbeya kupitia ofisi za mipango mji. Ilitangaza inauza viwanja tarehe moja Oktoba 2013 Sistila Mbeya. Malipo yalitakiwa yafanyike toka tarehe 07/10/2013 hadi 06/11/2013. Watu walifanya malipo ndani ya muda mfupi sana na viwanja vilikuwa na size tofauti ila vipo zaidi ya...
  19. Hepatis B

    Kiwanja kinauzwa Ivumwe Mbeya

    Kiwanja kinauzwa ivumwe mbeya karibu na tazama pipeline kina urefu 33m na upana 17m. Kimepemwa na kipo katika mpango mji. Barabara ipo mbele ya kiwanja, umeme na maji vipo. Bei mil 12 ukihitaji ni pm kwa maelekezo zaidi.
  20. Hepatis B

    Naomba msaada kufahamu ofisi ya HIMSO Ilipo Mbeya

    Samahan naomba kufahamu ofisi ya Health Insurance Management Services Organization ilipo mbeya au yeyote mwenye Contact zao maana wameita watu kwenye Interview ila hatupafahamu. Asante sana.
Back
Top Bottom