Kiwanja kinauzwa Ivumwe Mbeya

Hepatis B

Senior Member
Feb 11, 2013
184
130
Kiwanja kinauzwa ivumwe mbeya karibu na tazama pipeline kina urefu 33m na upana 17m. Kimepemwa na kipo katika mpango mji. Barabara ipo mbele ya kiwanja, umeme na maji vipo. Bei mil 12 ukihitaji ni pm kwa maelekezo zaidi.
 
miaka ya 98 kulikuwa na mti ya milingoti mitaa hiyo du mbeya kumekucha
 
Nataka na nipo mbeya kaka ila kabei kamechangamka....Nilidhani maeneo hayo viwanja vilivyopimwa havizidi 5mil???!!!
Ingekuwa hiyo bei niliyotaja NINGEKUNJUKA
 
Nataka na nipo mbeya kaka ila kabei kamechangamka....Nilidhani maeneo hayo viwanja vilivyopimwa havizidi 5mil???!!!
Ingekuwa hiyo bei niliyotaja NINGEKUNJUKA

Duh mkuu wapi huko kuna viwanja chini ya mil 5 vilivyopimwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom