Kwa waliolipwa fedha zao la fao kukosa ajira(PSSPF) tukutane hapa.

Hepatis B

Senior Member
Feb 11, 2013
184
130
Habarini wana jamvi!


Naomba kujua kama kuna mtu kalipwa fao la kukosa ajira toka PSSPF, binafsi nipo Mbeya nimetoka jana kuuliza vipi lile agizo la mheshimiwa raisi wakasema niwe na subira watu wengi wameshaanza kulipwa fedha zao.

Nikaondoka kiunyonge nikaone nijiridhishe hapa kama niliyoambiwa ni kweli. Kwa yeyote ambaye kaanza kupokea hii fedha tafadhali tujulishane hapa.
 
Back
Top Bottom