Search results

  1. O

    Msaada: LG Home Theater inaandika D-PROTECTION

    Mwenye kujua utatuzi wa hii changamoto au fundi mzuri wa kurekebisha hili tatizo hapa dsm. Home theater inawaka mwisho inaleta ujumbe d protection.
  2. O

    Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

    Mpaka muda hii Kitayose hawajatokea uwanjani kupasha misuli. Bado dkk 18 mpira uanze. --- Kitayosce FC ilianza mechi dhidi ya Azam ikiwa na wachezaji nane [8], Bodi ya Ligi tulipokea uthibitisho kutoka TFF kuwa wachezaji nane [8] tu wa Kitayosce ndio wanastahili kucheza mechi ya Ligi. Kikanuni...
  3. O

    Msaada sehemu ya kujaza fire extinguisher

    Wakuu habari, naomba msaada kujua sehemu ambazo wanafanyia service fire extinguisher kwa hapa dar es salaam na hasa Temeke au mbagala kuu
  4. O

    Msaada kupata data simu iliyokufa kioo

    Wakuu nina simu imekufa kioo. Nataka nipate baadhi ya data zilizomo kwene cm tatizo nikiweka kwene computer inanambia folder empty ili hali picha zipo na data zingine zipo naomba msaada wakuu.
  5. O

    Msaada: King'amuzi cha Azam Tv kinaniandikia 'no program'

    Wakuu tafadhali kisimbuz changu cha Azam kinaniandikia No program nimekitumia takribani mwaka, jana kuna dogo kaminyaminya rimoti sijui hata kafanyeje leo nawasha nakuta no program. Msaada tafadhari.
  6. O

    Clouds media:mlimshauri vibaya mkuu wa mkoa.

    Ukifuatilia kwa umakini ukurupukaji uliofanywa na mkuu wa mkoa ni dhahiri kuna kituo fulani cha tv kilimshauri afanye hivo au amekua mfatiliaji mzuri wa media hiyo. Yale yote aliyoyatenda yamekuwa yakijadiliwa mara kadhaa na kituo hicho,, Hata season ya jana ukiangalia wale wahusika(watoto)...
  7. O

    Picha kali kutumia kamera za kisasa

    Kama tangazo linavojieleza
  8. O

    Suti kali

  9. O

    Kubadili uendeshaji toka kwenye shirika kuwa mamlaka

    Kutokana na vitendo wanavyotufanyia ta.n.esco tuwape ushauri wabadilishe utaratibu wa uendeshaji lisiwe shirika la uzalishaji tena bali iwe mamlaka ya kukata na kurudisha italeta tija kwa taifa maana wao ndio wenye mamlaka ya kuamua ni muda gani tunahitaji nishati...
  10. O

    msaada ZEC

    tv zec iko black and white aje kubadili rangi inaniwia vigumu sana IT ndogo
  11. O

    Msaada tv bydesigne inagoma ku connect cable.

    kuna hii TV aina ya byDesigne {mtumba} from hongkong, haikubali picha toka cable wire hailet hata search option but nikitumia dish inakubali. naombeni ufumbuz wa hii kitu
  12. O

    Usafiri iringa to dar .

    wakuu msaada wapi naweza pata usafiri nifike dar usiku huu hata iwe fusso ya viazi au gar yeyote ya mzigo.? kesho sa sita inabidi niwe dar.
  13. O

    mtaacha lini kutembea na cash in hand?

    inasemekana kuna mdada alikuwa akitokea mwenge na mijihela akiwa kwene daladala kashuka morroco wazee wa gun wamepiga ya hewani na kuepa na mzigo dada yuko salama.
  14. O

    Ecobank : Guarantee service.

    nimesikia hawa jamaa watatoa hii huduma kwa wateja wao, mwenye experience na hii huduma hebu afunguke kidogo jinsi itakavo operate hapa nchini maana wateja wabongo uaminifu ni F, supplier wenyewe magumashi na bank zenyewe majanga.
  15. O

    RADAL RECRUITMENT. help

    nimepigiwa cm na hawa jamaa kuna interview wataiendesha ni kama graduate trainee hivi, msaada yeyote anaejua kuhusiana na hiyo kitu na maswali wanayouliza, in short mtu yeyote aliyewahi kulink na hawa radal wakoje?
  16. O

    msaada please!

    naomba nisaidieni mwenye kuweza niunganisha au naweza fanyaje nipate intership kwene bank yeyote hapa nchini coz ajira ni ngumu sana. may be this can lead me into employment
  17. O

    Msaada please: Multiple sms samsung gt-s5300.

    simu yangu huwa inapokea multiple sms nikitumiwa moja zinakuja zaidi ya tatu mwenye maujanja ya kusolve hili tatizo please anisaidie.
  18. O

    Wadau crdb hawajatangaza kazi mwaka huu toka uanze?

    Kila nikiseti dili zinabuma
Back
Top Bottom