Msaada: LG Home Theater inaandika D-PROTECTION

option

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
2,022
1,482
Mwenye kujua utatuzi wa hii changamoto au fundi mzuri wa kurekebisha hili tatizo hapa dsm. Home theater inawaka mwisho inaleta ujumbe d protection.
 
Mwenye kujua utatuzi wa hii changamoto au fundi mzuri wa kurekebisha hili tatizo hapa dsm. Home theater inawaka mwisho inaleta ujumbe d protection.
Ingia Google weka namba ya model utapata muongozo wa mtumiaji na maelezo nini ufanye likitokea neno hilo.
  1. Disconnect all wires and cords from the LG Home Theater.
  2. Press and hold the ‘Stop’ button on the Home Theater for about 5 seconds, or until the screen displays ‘D Protection Off.’
  3. Your LG Home Theater has been reset, and it is no longer protected
 
Sikuipata hi tag

Mku unit yako imepata hitirafu

Vifaa vingi vya kisasa vinatebgenezwa kwa mfumo marumu kwajiri ya kujirinda pindi shida inapotokea
Lakini pia kwakua unit hiz za kisasa hutumia mfumo automatic wa kujiendesha huenda pia ikawa tu umechanganya taarifa
Hivyo itakubidi unonyeze button 5(for just five seconds or more) kuirudisha kwenye default mode
Kinyume na hapo itakua ni either motherboard imepata shida (ndogo au kubwa)

Lakini pia wakati mwingine husababushwa na ukaaji vby wa speaker zako

Ila ikiwa ulikua ni mdau wa kusikiliz mziki kwa sauti ya juu sana basi huenda kuna capacitor zimevimba
Au kupasuka kbsa

Itafaa iangaliwe kwa ustadi mkubwa
Kinyume na hapo utaongeza tatizo

Je nnaweza pata model number yake?
 
Asee mie ya sony ndo inakuaga na mtindo huo wa kuandika protect ,,na nilipelekaga kwa fundi akasema haina shida
 
Asee mie ya sony ndo inakuaga na mtindo huo wa kuandika protect ,,na nilipelekaga kwa fundi akasema haina shida
Unit hizi zinamdumo wakisasa unaojiendesha ki automatic
Chini ya program zake binafsi
Ikiwa kitu chochote kikiwa tofauti (hata connector za peaker tu)
Au umeme haujakaa sawa basi ita protect tu
 
Nimejaribu kufanya hivo lakini bado
Kama ni mpya au ipo ndani ya warrant rudisha dukani huwa wanawasiliana na argent wao Nairobi kuna code wanaingiza humo inafungua, wanasema hiyo ni kudhibiti watengenezaji fake
 
Mwenye kujua utatuzi wa hii changamoto au fundi mzuri wa kurekebisha hili tatizo hapa dsm. Home theater inawaka mwisho inaleta ujumbe d protection.
Pole sana mzee. Naandika hapa nikiwa sijui kama umepata msaada au la hasha.

D-Protection level ya ulinzi kwenye vifaa hivi vya kisasa vya umeme, umewekwa makusudi kulinda kifaa chako.

Hiyo hutokea mara nyingi kutokana na kukatika kwa umeme ghafla ndani ya mzunguko wa power supply ndani ya theatre, inaweza kuwa electricity outage, kupungua nguvu umeme (less common) au yale mazoea ya kutokuzima vitu kwa utaratibu, maana wengine power off kwenye remote huona iko mbali sana hivyo wanazima shitch ya umeme tu au kuchomoa waya wa power 😂😂. Ndo majanga hayo sasa.

Cha kufanya:
Kuna njia 2 hapa
1. Badili power supply yote. Hii ni rahisi na ni haraka.

2. Tafuta fundi ambaye anajua kazi yake, anayeanza kazi kwa kutafuta tatizo lilipo kwanza ndipo arekebishe. Atafanya diagnosis hatua kwa hatua. Ukichagua njia hii mpe fundi muda afanye kazi yake usiwe aina ya wale ambao “fundi kesho nasafiri kazi yangu vipi?” utafail.

Kama hujafanikiwa niambie ulipo naweza recommend best fundi around.
 
Back
Top Bottom