Search results

  1. Gerald Robert

    Israel inavyosogolea mpaka wa Iran

    07/02/2019 Marekani ilitangaza kufanya bisahara na Israel, bishara yenyewe ni kwamba, Marekani inataka kununua IRON DOME DEFENCE SYSTEAM. = Iron Dome ni mtambo maalumu kwaajili ya ulinzi wa angani kuhakikisha kwamba hakuna adui wa kuweza kukushambulia kutokea angani, Air Defence Systeam. =...
  2. Gerald Robert

    Iran yaishutumu Israel kuwaibia mawingu ya mvua...

    IRAN yaishutumu ISRAEL kwa kuiba mawingu yanasababisha mvua kiasi kwamba nchi ya Iran inakabiriwa na baridi kali pamoja na tishio la nchi hiyo kugeuka jangwa. Kila mvua inapotanda kutaka kunyesha, wingu huondoka na nchi kusalia na baridi kali yenye barafu. Iran imeishitumu Israel kwa kudai...
  3. Gerald Robert

    Kwa vitendo vya kihalifu vinavyotokea nchini kwetu; vyombo vya usalama viko wapi?

    Bado sifahamu kazi ya USALAMA WA TAIFA ni nini hasa? watu wana tekwa, wanateswa na kuumizwa vibaya, maiti zinaokotwa Coco beach ni aibu hata kuzungumzia. Ni nini kazi ya USALAMA WA TAIFA hasa? Au ndio kutimia kwa vitendo kwamba NCHI IMESHIKWA NA WASHAMBA kama alivyosema Zitto Kabwe? Au...
  4. Gerald Robert

    Nini maana halisi ya kujiuzulu?

    Dhana ya kisheria ya kujiuzulu ni kukaa pembeni – huwezi kujiuzulu nafasi fulani halafu unarudi kuigombea nafasi hiyo hiyo – hii ni aina mpya ya ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma ambao umevishwa koti la sheria na demokrasia. sasa ndo naanza kumuelewa Trump #shit_hole
  5. Gerald Robert

    Ushauri: Kabla ya kumchukia Mh. Lowassa...

    USHAURI. Ukiona baba yako mzazi kakuleteza zawadi ya PUTO katika siku ya Harusi yako, usimchukulie kwamba amekukosea heshima , tuliza akili, then tafkari, alafu ujilize, Ni kwanini PUTO? Usifanye haraka kufungua kinywa chako na kuanza kumsema vibaya baba yako kwa kudhani kwaba...
  6. Gerald Robert

    Swali ambalo sijawaji kupata jibu lake

    Jf members, salam. Ninaswali ambalo limekuwa likinisumbua kupata jibu lake kwa muda mrefu sasa, hivyo nimeona vema niliwasilishe hapa yamkini nitapa majibu kabla mwaka 2018 haujaanza. kaswali kenyewe ni haka hapa Namfahamu Katibu Mkuu wa ccm, na Mwenyekiti wake. Na kwa uzoefu wangu...
  7. Gerald Robert

    Siasa za Vradimir Putun nikama za Rwanda na Tanzania.

    Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny, ameuambia mkutano mmoja mjini Moscow kwa uungwaji mkono mkubwa anaopata kwa sasa kote nchini Urusi unathibitisha kuwa yeye ndiye anafaa kuwa Rais wa nchi hiyo badala ya Rais Vladimir Putin. Bwana Navalny anapiga siasa kali ili jina lake...
  8. Gerald Robert

    Mpango mpya wa usalama wa Marekani ni tishio kwa Kim Jong-Un

    MPANGO MPYA WA USALAMA WA MAREKANI NI TISHIO KWA KIM JONG-UN. Katika siku ambayo baraza la usalama la Umoja wa mataifa linapiga kura kuidhinisha vikwazo vikali zaidi dhidi ya Korea kaskazini, kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong-un, amesema taifa lake linawakilisha tishio kubwa la nyuklia kwa...
  9. Gerald Robert

    Baada ya Juma Nkamia, sasa ni zamu yangu.

    Juma Nkamia (ccm) => Nitapeleka mswada bungeni kuomba Muda wa Rais, Wabunge na Madiwani uwe ni miaka 7 (saba) John Heche (chadema) => Nitapeleka mswaada bungungeni kuomba kupunguzwa kwa muda Rais, Wabunge na Madiwani kuwa ni miaka mi4 badala ya mi5. Gerald Robert (HPP)=> Nitawasilisha hoja...
  10. Gerald Robert

    Kumuua Lissu mmoja kutazalisha wengine 100

    UKIMUUA LISSU 1, WATAKUJA WENGINE 1000 AMBAO NI ZAIDI YA LISSU. KIPI BORA? Neno linafundisha. 1 Wafalme 19:14,18 [14]Akasema, Nimeona wivu mwingi kwa ajili ya BWANA, Mungu wa majeshi; kwa kuwa wana wa Israeli wameyaacha maagano yako, na kuzivunja madhabahu zako, na kuwaua manabii wako kwa...
  11. Gerald Robert

    Maswali na majibu kuhusu Kombora

    MASWALI NA MAJIBU. Rafiki yangu mmoja hivi ameniuliza swali kama ifuatavyo. Mtumishi, Marekani ilifunga mtambo wa kudungua makombora katika nchi ya japan kwa lengo la kuilinda na makombora kutoka Korea Kaskazini, SWALI, Ni kwanini kombora la Korea Kaskazini lilifanikiwa kupita katika anga ya...
  12. Gerald Robert

    Hivi ndivyo nilivyomuelewa Roma Mkatoliki

    ZIMBABWE. Walioniteka hawakuja na Noah, Niuvumi na visanaga , ila kutekana tekana huu ni uhuni wa kishamba NILIVYOMUELEWA ROMA MKATOLIKI HAPA NI KWAMBA.. 1, Walioniteka hawakuja na Noah, ni uvumi na visana... Hapa alimaanisha kwamba.... Yule dada aliyetoa ushahidi kwamba alishuhudia...
  13. Gerald Robert

    Dawa ya deni ni kulipa tu

    Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania aliwahi kuwaambia wafanyabiashara kwmba... Kama unajuwa kwamba unadaiwa na serikali ni bora ukalipe mwenyewe, natoa siku 7 kwa wadaiwa wote kulipa madeni yao maana dawa ya deni ni kulipa tu (mwisho wa kunuku) BWANA YESU NAYE ALITUFUNDISHA HIVI...
  14. Gerald Robert

    Azifichaye dhambi zake hatofanikiwa

    AFICHAYE DHAMBI ZAKE HATAFANIKIWA... mithali 28:13 Kuna Mchungaji mmoja hivi aliingia Bar na kuagiza Kilimanjaro baridiii, Wakati mhudumu anaekekea kaunta kuchukua kinywaji alichoagizwa na yule mchungaji, akaanza kujiuliza maswali kama ifuatavyo Hivi mchungaji kaniagiza Kilimanjaro, au...
  15. Gerald Robert

    Kila penye mafanikio kuna upinzani

    Hakuna jambo lolote lililo jema ambalo utaweza kulipata au kulifanikisha bila ya kuwepo na upinzani, kila njia ya mafanikio uiendeayo huwa haikosi upinzani wa kuzuia mafanikio hayo, Kumbuka kwamba ili ufanikiwe ni lazina upambane kuvishinda vikwazo vinavyozuia mafanikio yako, Ili urithi...
  16. Gerald Robert

    Gharama za kuwa mkweli

    Ukitaka kuishi maisha ya kuusimamia ukweli ni vema ukawa mwaminifu katika huo ukweli bila upendeleo wowote. Ukweli unagharama zake katika maisha ya mwanadamu, Wapo waliofukuzwa kazi kwa kuusimamia ukweli. Wapo waliopoteza maisha yao kwa kuusimamia ukweli. Wapo wenye vilema vya maisha sababu...
  17. Gerald Robert

    Usimlaumu mkeo kuwa hazai/tasa

    Umemuacha mke wako kwa tuhuma kwamba hazai (tasa). Mwanamke huyo huyo uliyemtuhumu kwamba hazai na ukaamua kumuacha, kwasasa ni mjamzito baada ya kuolewa na mwanamume mwingine. Je kama wewe ndiye huyo mwanamume aliye acha mke, utajisikiaje pindi utakapotambua kwamba mke uliye muacha sasa...
  18. Gerald Robert

    Ifahamu taasisi ya ndoa kabla ya kuingia kwenye ndoa

    Usiwemwepesi wa kukimbilia kuingia kwenye taasisi ya ndoa kama haujui ni kwanini unataka kuingia kwenye ndoa. Note: Kumbuka hapa nazungumzia Ndoa, na si tendo la ndoa. Vijana wengi (hasa wakike) wameangukia kwenye ghafla bila ya wao kutarajia ba mwisho wa siku wanajikuta wamekuwa ni wahanga...
  19. Gerald Robert

    Heshima ya mke ndani ya ndoa

    Usipomuheshimu Mkeo Mungu hawezi kukusikiza uombapo, vivyo hivyo usipomuheshimu Mumeo Mungu hawezi kukisikiza uombapo Ndoa ni tendo la heshima na lenye baraka za Mungu, vivyo hivyo wanandoa nao wanapaswa kuheshimiana ili wapate kiziteka baraka za ndoa ambazo Mungu aliziachilia kwa wanandoa wote...
  20. Gerald Robert

    Usiruhusu adui yako kuliona chozi lako

    Palitokea msiba huko mkoani mbeya ambapo mama mmoja alifiwa na Mume wake Mpndwa (Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali inapostahili kuwepo. Amen) Wakitokea jiji la Dar es salaam ndugu wa mwanamume (marehemu) walelekea kwaajili ya mazishi, Baada ya mazishi ndugu hao wa marehemu, kwapoja...
Back
Top Bottom