Dawa ya deni ni kulipa tu

Gerald Robert

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
337
219
Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania aliwahi kuwaambia wafanyabiashara kwmba...

Kama unajuwa kwamba unadaiwa na serikali ni bora ukalipe mwenyewe, natoa siku 7 kwa wadaiwa wote kulipa madeni yao maana dawa ya deni ni kulipa tu (mwisho wa kunuku)

BWANA YESU NAYE ALITUFUNDISHA HIVI


Mathayo 5:25-26
[25]Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.
[26]Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho.

DAWA YA DENI NI KULIPA TU, HAKUNA NAMNA.

[HASHTAG]#jazaujazwe[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom