Hivi ndivyo nilivyomuelewa Roma Mkatoliki

Gerald Robert

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
337
219
ZIMBABWE.

Walioniteka hawakuja na Noah, Niuvumi na visanaga , ila kutekana tekana huu ni uhuni wa kishamba

NILIVYOMUELEWA ROMA MKATOLIKI HAPA NI KWAMBA..

1, Walioniteka hawakuja na Noah, ni uvumi na visana...

Hapa alimaanisha kwamba.... Yule dada aliyetoa ushahidi kwamba alishuhudia Watekaji walikuja na Noah naye alikuwa ni miongoni mwa watekaji ila aliwekwa kwenye kitengo cha kupoteza ushahidi ili wasiweze kugundulika kwa urahisi, alichokifanya kutengeneza uvumi, UVUMI ni habari isiyo na uhakika .

2, ila kutekana tekana ni uhuni wa kishamba...

Hapa alimaanisha... Kumteka mtu na kisha kumuachia huo ni ushamba wa hali ya juu, kwamaana mtekaji anakuwa hajatimiza malengo ya utekaji wake kwa kuzuia Roma asiongee kile anachotaka kukiongea na ndiomaana Roma akaendelea kuongea kwa njia uimbaji kama kawaida yake kupitia hui wimbo (zimbabwe)

Kwamaana nyingine ni jwamba watekaji hawana akili, hata huyo aliyewatuma kutekeleza tukio hilo la utekaji naye pia hana akili.

Ndiomaana katika verse nyingine alisema kwamba..

Walioamini kwamba Roma ataonekana kabla ya Jumapili God bless you kwamaana imetimia Injili niliyoitabiri...

Maanayake ni kwamba,

Tendo la kuachiwa kwake halikuwa ni huruma ya watekaji, bali ilikuwa ni lazima watekaji wamuachie ili uatabiri wake upate kutimia.

kwa kauli hii hata watekaji ni lazima wajione kuwa wao ni washamba .

[HASHTAG]#jazaujazwe[/HASHTAG]
 
Mkuu utaumiza kichwa bure
Wala hakutekwa, ilikuwa kiki ya bashite

invest what you are willing to loose
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom