Search results

  1. Maverick

    Rais Abdulaye Wade wa Senegal akubali kushindwa!

    Rais wa Senegal Abdulaye Wade amekubali matokeo katika mzunguko wa pili wa uchaguzi wa urais. Wade ambaye ana miaka zaidi ya 80 alibadili katiba ili aweze kugombea mara ya tatu.
  2. Maverick

    Natafuta battery ya Blackberry Storm II

    Natafuta battery ya Blackberry Storm II mwenye kujua wapi zinapatikana anijulishe. Ahsante
  3. Maverick

    Tukumbushane: Nyimbo bora zenye majina ya kiume...II

    Mwanakijiji ameanzisha mada ya kukumbushia nyimbo bora zenye majina ya kike. Ndani ya mada hii nimeweza kupata mashairi ya nyimbo nyingi za zamani zilikuwa zinavuma miaka ya 70, 80 na mwanzoni wa miaka ya 90. Ili kuleta uwiano katika mada ya Mwanakijiji, nimeanzisha mada hii yenye kuangalia...
  4. Maverick

    Watanzania waishio Gauteng, Afrika Kusini kuanzisha jumuia

    Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini unapenda kuwatangazia watanzania wanaoishi katika jimbo la Gauteng kuwa kutakuwa na mkutano wa watanzania wanaoishi katika jimbo hilo utakaofanyika tarehe 24 oktoba, 2009 saa nane na nusu mchana hadi saa kumi na moja jioni katika ukumbi wa Pretoria...
  5. Maverick

    This is what is wrong with Africans/black people

    I saw this on drfaustine.blogspot.com and thought I should share it with you. This is an article was read by a Caucasian, one Dee Lee on a New York radio station. THEY ARE STILL OUR SLAVES We can continue to reap profits from the Blacks without the effort of physical slavery Look at the...
  6. Maverick

    Jela Miaka 30 kwa wizi wa Sh 10,000

    Maoni: Watalamu washeria tusaidieni kama adhabu ni stahili kwa kukosa lililotendwa au ndio ya mnyonge na maskini? MFUNGWA Yahaya Shariff aliyekuwa akitumikia kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha juzi, aliongezewa adhabu hiyo na kufikia miaka 30 jela baada ya...
  7. Maverick

    Developing story: Mwanawasa apata "stroke", alazwa Misri

    Zambian President Levy Mwanawasa is being treated for a mild stroke in the Egyptian resort of Sharm el-Sheikh, Zambia's vice-president has said. Mr Mwanawasa's condition was described as stable. The president, 59, was rushed to hospital on Sunday with sharp chest pains ahead of an African...
Back
Top Bottom