Search results

  1. malamsha shao

    Azam FC Kuanzia round ya kwanza CAF ni ipi sababu?

    Sababu ni simba kufika robo fainali shirikisho. Means that ingekuwa alifika club bingwa robo fainali isingekuwa hivyo.
  2. malamsha shao

    Simulizi: Mimi na Boss Wangu

    Haifiki 10 c anajenga fence?
  3. malamsha shao

    Tatizo la Nguruwe kula kuku

    Kutana na nyati hapo mbugani bora simba
  4. malamsha shao

    Naweza tumia Neutral kwenye mteremko?

    Haifiki km 15 maana mwika himo yenyewe km 13 mkuu
  5. malamsha shao

    Form Six kwenda kwenye Mafunzo ya Jeshi

    Hawatoroki bali wanatoroshwa
  6. malamsha shao

    Msaada: Mdogo wangu anahitimu Darasa la 8 Kenya. Je, anaweza kupata nafasi shule za serikali Tanzania?

    Hapana kuna option ya kubadilisha jina kabla ya registration kwaajili ya mtihani wa national form 2
  7. malamsha shao

    Msaada: Mdogo wangu anahitimu Darasa la 8 Kenya. Je, anaweza kupata nafasi shule za serikali Tanzania?

    Inawezekana ila private. Mbona kuna niliosoma nao private waliishia std 6 wakaanza form 1?
  8. malamsha shao

    Mashine ya kusajili line za simu aina ya famoco

    Habari wakuu, kuna dogo anataka kuanza biashara ya kusajili line zote za simu kwa alama za vidole na kuuza line za simu. Amesema kuna mtu alimwambia anatakiwa awe na mashine ambayo ipo kama simu inaitwa famoco. Wenye uzoefu, msaada jamani.
  9. malamsha shao

    Kuhusu Sare za Shule hasa za Msingi

    Arusha shule nyingine wanavaa suruali Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  10. malamsha shao

    Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Zipo kulingana na ukanda, kwahiyo zipo Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  11. malamsha shao

    Makosa makubwa ya Uaandaaji wa Maonyesho ya Kilimo Nane Nane

    Hiyo ndio maana ya thinking outside the box. Big up mkuu Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  12. malamsha shao

    Wafugaji Wa Sungura ni swala la Masoko

    Mkuu Chasha una maono makubwa sana katika tasnia za kulima na kufuga kibiashara. Ila wafugaji wa sungura tusiwalaumu sana maana walikua affected psychologically baada ya zile kampuni za kitapeli kuwalaghai na kuwauzia mbegu za sungura, mabanda, vyombo na vyakula kwa bei ghali na kuwasainisha...
  13. malamsha shao

    Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Zipo za nyanda za juu, kati na chini Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  14. malamsha shao

    Form Six kwenda kwenye Mafunzo ya Jeshi

    Vyeti vinakuja kama umetoroka kipindi cha mwishoni maana picha za vyeti unavaa gwanda sasa mwanzoni unapata gwanda Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  15. malamsha shao

    Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Well said Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  16. malamsha shao

    Mbwa kujisalimisha kwa chatu

    Haijalishi maana chatu na mbwa wote wanaona usiku na mchana tena usiku ndio hatari zaidi Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  17. malamsha shao

    Yajue madhara ya kutumia Maji kwenye Radiator [Rejeta]

    Mbona kwenye radiator kuna water pump halafu unasema tusitumie water?
Back
Top Bottom