malamsha shao
JF-Expert Member
- Sep 23, 2012
- 215
- 78
Zipo kulingana na ukanda, kwahiyo zipoKwa maeneo kama Morogoro vipi kiongozi...?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Zipo kulingana na ukanda, kwahiyo zipoKwa maeneo kama Morogoro vipi kiongozi...?
Ilibidi itoe lita ngapiHabari wana jamvi,
Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
Natafuta hizo mbegu za canola, tafadhali tuwasilianeAchaneni na Alizeti, limeni Canola.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Habari wana jamvi,
Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
Kipimo cha gunia kinatofautiana kwa kuwa magunia yana size tofauti, Hapa twende na kilo alizopima, Kilo45 kapata lita 7!Hii habari ina ukakasi mwingi sana........ ingawaje kwa upimaji wa alizeti kwa madebe(ndoo za lita 20 full) kwa kawaida gunia la debe 6 linatakiwa kuwa na kilo walau 55 hadi 80 kulingana na aina ya mbegu, na kukomaa viziri kwa mbegu
Hii ina maana ukikamua utapata wastani lita kuanzia 16 hadi 25 kwa gunia
Sasa hilo gunia la kilo 45 sijui linajazwa kwa muktadha upi. Lakini hata kama ni kilo 45 bado ni ujazo kidogo sana kupata lita 7 tu, labda kama mpepetaji aliamua kutokutoa mapepe kwenye alizeti akayajaza kwenye gunia
Kama ilipepetwa vizuri( 95% iwe mbegu yenye kiini) haiwezekani kupata huo ujazo
Hata hizi mbegu za KIENYEJI ambazo hazina ufanisi haziwezi kutoa mafuta kidogo kwa kiasi hicho
Mimi nimelima eka 20 ASA Singida, na nimekamua gunia moja la debe 6(ingawa sikupima uzito) lakini nimepata lita 20 na point kwa gunia
napata taabu kuamini hii stori kwasababu nimelima na nimeona ubora wake
Lakini pia hata kama wameuza feki ambazo zitakua ni za kienyeji bado huo ujazo ni mdogo sana unless ulijaza mapepe kwenye gunia
umepata mafuta lita ngapi kwa kilo ngapi? Kuona imestawi tu shambani ni hatua ila fainali ni kiwango cha mafutaNadhani jamaa angeeleza alipanda kipindi gani cha hali ya hewa , na je alipanda alizeti pekee au alichanganya na mazao mengine katika eneo moja!Mimi nimetumia mbegu ya ASA na nipo Mtwara nipo navuna.aijafanya vibaya wala so vizuri sana ila nimeona inamwelekeo mzuri..
Nilifikiri ni mtu mmoja analalamikoa kumbe ni wengi, Mfuatilie huyu MBEGU FAKE YA ALIZETIMbegu ni mbaya sijawahi kuona nilipanda songea na iringa ni kituko
Kipimo cha gunia kinatofautiana kwa kuwa magunia yana size tofauti, Hapa twende na kilo alizopima, Kilo45 kapata lita 7!
Pole mkuu wenzio tunapanda HYSUN sikuhiziHabari wana jamvi,
Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
HYSUN mkuu au ZAMBIA1Kwa hiyo mbegu nzuri ni zipi wakuu.
Nimejikuta nacheka tuuuuuuuuHabari wana jamvi,