Search results

  1. Chromium

    Kuna mtu umempenda kazini? Tafakari yafuatayo

    Sehemu kubwa ya maisha yako kama mfanyakazi unaitumia kwenye eneo la kazi. Ingawa inategemea na aina ya kazi unayoifanya, ni wazi muda mrefu kwa siku unaoutumia kutekeleza majukumu yako unakuweka karibu zaidi na wafanyakazi wenzako kuliko hata familia na marafiki. Mazingira haya ya ukaribu wa...
  2. Chromium

    Fedha zetu ziko salama NBC? Nimekombwa hela jana!

    Naombeni msaada wa namna ya kutatua kadhia hii ya benki yetu ya NBC. Jana asubuhi nimechukua fedha wakati naenda kazini. Nikaomba na mini statement. Nikaweka kadi (Master Card) kwenye wallet. Nimerudi jioni benki kuchukua kiasi kingine, kutahayaruki fedha haifiki ile niliyoitegemea! Nikaomba...
  3. Chromium

    Orijino komedi: Mnaganga njaa kutangaza propaganda za magamba?

    Ni wazi kile kikundi kilichopata kuwa maarufu cha Orijino Komedi kinachorusha vipindi vyake kupitia TBC1 kiko muflisi. Kwanza hawaonekani kuwa na mvuto wowote tena kama walivyokuwa enzi za Ze Comedy ya EATV. Pili wanaonekana kutumika kupotosha ukweli wa mambo kuwapata wananchi wasio na uelewa...
  4. Chromium

    Star TV ni kitengo cha propaganda?

    Hivi punde Star TV wamemaliza kipindi cha moja kwa moja kinachoitwa Jicho letu ndani ya habari. Leo walikuwa wanazungumzia jinsi vyombo vya habari vya ndani vilivyoshiriki katika mijadala ya katiba mpya wiki hii. Mgeni mmoja wapo ni Dr. Kiwangana yule mbunge aliyemwondoa Selelii Nzega. Huyu...
  5. Chromium

    Elections 2010 CONFIRMED: Mary Nagu ashinda Hanang

    Basil Pesambili Mramba kaangukia pua kwa Selasin kwa tofauti ya kura 2000! Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang! Mathayo wa Same naye chali. CHADEMA! CHADEMA!
  6. Chromium

    Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Morogoro

    "...Kaka kituoni kwangu CCM 43, CHADEMA 65, CUF 3, APPt 1, zimeharibika 2..." Kwa njia ya SMS.
  7. Chromium

    Elections 2010 Lipumba na wapinzani wengine wamejidhalilisha

    Nilisikitishwa na kitendo cha Lipumba kumponda Dr. Slaa kwa kisingizio cha kujibu swali kwamba anamwuunga nani kati ya Dr. Slaa na Bw.Kikwete ambao ndio wanaoonekana kuwa washindani wa kweli. Kwa nini kama kweli ni mpinzani wa kweli, asingetumia fursa hiyo kumponda Kikwete? Kulikuwa na ulzama...
  8. Chromium

    Mtawala anayegombea hatapata - Askofu Lazaro

    Habari hii si propaganda kama za CCM. Pengine ni mwendelezo wa uthubutu wa viongozi wa dini (hasa Wakristo) wanaoamua kusema ukweli kwamba hali ya mambo si shwari serikalini. na serikali hii ambayo haivumilii kusemwa tofauti na inavyotaka, inawakemea utadhani hawapendi kabisa kusikia udini...
  9. Chromium

    Nchi imekosa mwelekeo

    Nazungumza kwa masikitiko makubwa. Ninasononeka. Ninaandika nikilia. Navuta machozi nikitafakari pepo mchafu anawasumbua watawala wetu. Hakuna asiyetambua kuwa nchi yetu inayumba. Nchi imekosa mwongozaji. Nchi imepoteza dira. Nchi inakwenda pasipofahamika. Nchi haieleweki inakopelekwa...
Back
Top Bottom