Habari, ya kutwa mwanzo wa juma kabisa siku ya hangover kazini za weekend nzima
Mimi kwa majina ndo haya haya mnayoyaona
Nimekutana na changamoto ya wizi wa dakika kutoka mtandao wa vodacom
Nilijiunga kifurushi cha wiki cheka ya tsh 30,00 ambapo hupata dakika zenye nchanganuo wa matumiz...
Katibu wangu mkoa wa Katavi chama Cha Demokrasia na maendeleo, CHADEMA mm DEUS JOSOPHATH KAMOJA ambaye ni katibu wa chadema wilaya ya mlele.
Kwaheshima naomba kukutaarifu kuwa nimeamua kupumzika na siasa Lasimi za upinzani kutokana na majukumu niliyo nayo.
Hivyo napenda kuchukuwa nafasi hii...
Leo tarehe 5/1/2020,
Chuo Kikuu cha Kilimo kinazindua tawi lake jipya mkoa wa Katavi Halmashauri ya Mpimbwe mjini Kibaoni, kijiji ambacho anatokea Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda.
Wageni mbalimbali tayari wanaingia ikiwa ni pamoja na Wakuu wa mikoa 8 ambapo Katavi, Tabora, Rukwa, Songwe...
Nimeota Clouds watazuiwa kufanya shoo uwanja wa Uhuru sababu nilizopewa ni mbili; suala la usalama kwan December 9 ni Uhuru day na maandalizi ya uwanja yataanza siku mbili kabla ukaguzi na mengine ya kiusalama.
Lakini jambo la pili ni TFF wana hofu ya nyasi kuharibika. Na tatu Clouds wanajua...
Salamu, kwa msaada Mwalimu yeyote mwenye PDF ya maazimio ya masomo kwa mwaka huu naomba. Kama upo nao au unajua namna ya kuupata, naomba kusaidiana katika hilo
Nawasilisha.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Naanza na kunukuu
"Kuna watoto wanaotaka ligi na wcb tumewachununia zimebuma" mwisho wa kunukuu
Hayo ni maneno ambayo ameyatoa diamond baada ya kuperfom katika shoo ya kwanza ya mboso tangu asajiliwe na wakal hawa wa burudan Tanzania
Mara baada ya kauli hiyo iliibuka shangwe kubwa kutoka kwa...
Salamu wapendwa wana jf
Naomba kuweka wazi kabisa katika hili sipo kwa maslai ya ccm chama tawala au ukawa/chadema kwa wapinzani naomba nisimame kama mtanzania
Siku chache baada ya Mh. Rais wa JAmhuri ya muungano Tanzania Dr. John pombe Magufuli kukataza michango ya aina yoyote ile katika...
Naanza fasta bila kukuchosha
Toka ananza kuimba kuna muda nikahis anaimba utani utani tu manake nyimbo kadhaa ni kama za watoto za kuchekeshana mfano hiyo zezeta Awaaaaaaaaaaaaap kwangu sijaona kitu
Labda ndo wale wa "I'm doing music just for run" maybe
Ila kuna haka kawimbo sijui kapyaaa ka...
Salamu wanajukwaa Wenye nyumba na hata sisi wapangaji WA kudumu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kutokana na kuwa wingi WA mialiko ya kipindi hiki cha siku kuu Leo Nimeona ni vyema tukabalishana ujuzi wa namna ya KULA SANA kipindi hiki ili mialiko Isiende bure kwanza Dhambi kama sio dharau...
*CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka. WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa...
Dar es Salaam. Uongozi wa Simba umeandika barua kwa Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro ikiomba kufanya maandamano ya amani Jumanne ijayo kupiga uonevu wa Shirikisho la Soka TFF .
Kwa mujibu wa barua ya Simba iliyosainiwa na rais wa Simba, Evance Aveva ilisema lengo la maandamano...
Habari Tanzania
Habari African
Leo napenda nitoe wazo la juu ya mikipo inayotolewa na bodi ya mikopo chuo kikuu
Binafsi nimeona ni wazo jema mpaka nalileta hapa mkekani japo wapo watakao ungana na mimi ila sitoshangazwa na watakao kuwa tofauti na mimi hii si tatizo hata na huo ndo uhuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.