Uzinduzi wa tawi jipya la SUA Wilaya H/W Mpimbwe

jonas amos

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
3,621
4,400
Leo tarehe 5/1/2020,

Chuo Kikuu cha Kilimo kinazindua tawi lake jipya mkoa wa Katavi Halmashauri ya Mpimbwe mjini Kibaoni, kijiji ambacho anatokea Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda.

Wageni mbalimbali tayari wanaingia ikiwa ni pamoja na Wakuu wa mikoa 8 ambapo Katavi, Tabora, Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Ruvuma mgeni rasmi atakuwa ni Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako ambaye pia ameambatana na Waziri wa Kilimo.

Majengo ya chuo hiki yalikuwa mahususi kwa ajili ya shule ambayo alisoma Pinda ila sasa amemua kuwapatia Chuo kwa maendeleo zaidi.

Karibu kwa fursa za uwekezaji.

Nipo live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom