Huyu mzee pembeni ya Diamond ni nani? Ndo manager wa Diamond? Hivi karibuni nimekuwa nikimuonaona akiwa karibu na Diamond, hata kwenye picha za nyumbani kwa Diamond Madale huyu mzee amekuwa akionekana. Ni nani yake?
Wadau habari za mchana?
Msaada please kwa anayejua sehemu ninayoweza kupata mbegu ya mpunga aina ya SUPER hapa DSM au mikoa ya jirani.
Natanguliza shukrani.
Jamani naomba msaada wa kupata contacts za mafundi wa kutengeneza majiko ya kuchomea nyama (BBQ Grills) hapa Dar yenye ubora. Hata kama unalijua duka linaloota majiko yenye ubora mzuri (Majiko yasiyopata kutu/stainless steel) naomba nijulishe.
Najua kuna ambao watanitajia sehemu kama ubalozi wa...
Habari za jioni wana JF!
Naomba kuuliza eti ni kweli hutakiwi kupiga plaster shimo la maji safi? Maji ambayo yanatumika kwa shughuli zote za nyumbani kama kupikia, kuoga,kufulia, kunywa n.k.
Kuna jamaa anasema eti kuna madhara makubwa kutumia maji ya shimo ambalo limepigwa plasta au nilu kwa...
Wakuu habari za jumapili. Naomba msaada wa kujua bei na suppliers wa mashine za kusaga na kukoboa mahindi na mpunga.
Naomba pia kwa wajuzi wa eneo hili wanifahamishe brand zipi ndo bora pamoja na technical specification.
Natanguliza shukrani za dhati wana JF.
Naangalia kipindi cha Jenerali Ulimwengu sasa hivi na mgeni leo ni Simon Simalenga ambaye ni mwanahabari (Producer wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM).
Kipindi cha leo kinahusu rasimu ya pili ya katiba. Simalenga nashangaa kwanini alienda kwenye kipindi wakati anapwaya sana kwenye suala hili...
Wadau hebu tushauriane kuhusu masuala ya rangi za nyumba na sababu zipi zinafanya rangi ziwe zinabanduka tena ndani ya muda mfupi tu. Je ni mafundi wetu hawajui namna ya kuandaa kuta kabla ya kupaka rangi au ni ubora wa rangi zetu? Karibu kila nyumba ninazotembea hapa Dar zimeathiriwa na tatizo...
Religious people are less intelligent than atheists, according to analysis of scores of scientific studies stretching back over decades.
Study found 'a reliable negative relation between intelligence and religiosity' in 53 out of 63 studies
A new review of 63 scientific studies stretching...
Leo ilikuwa zamu ya DJ kutoka Tanzania kuwaburudisha washiriki wa shindano la Big Brother Africa. Kwa kawaida Multichoice huwa wanaaalika maDJ kutoka nchi wa
shiriki kila jumamosi saa 5 mpaka saa 6 usiku kuwarusha majoka washiriki wa BBA.
Leo DJ kutoka Tanzania ambaye pia ni radio DJ wa...
Wakuu naguswa sana na namna Rais Obama anavyoonekana kuijali familia yake. Kila wakati anaposafiri lazima aongozane na mke wake pamoja na mabinti zake. Binafsi ningependa sana kuona rais wangu Mh. Kikwete akiongozana na mke wake pamoja na watoto wake wote.
Hii itakuwa ni mfano mzuri kwa sisi...
Wadau wa sheria nina swali nataka msaada wa kisheria.
Kuna mtu kanitoroshea binti wangu wa kazi na kwa bahati nzuri katika pitapita za vijana wangu hapa mjini wakafanikiwa kukutana naye. Baada ya kumbana na maswali wakitaka kujua sababu iliyomfanya aondoke bila kuaga, binti akajibu kuwa...
Baada ya mwanadada nguli katika bongo flavour msanii Lady Jaydee kuwatolea uvivu radio ya watu (Clouds FM) kuwa hawapigi nyimbo zake mpaka wapewe rushwa sasa ameamua kuja na kituo chake cha redio.
Mwanadada huyo kafunguka kwenye ukurasa wake wa twitter kuwa "Kwanza FM coming soon. Yangu...
LIVE on TBC1 right now
Maaskofu bila kupepesa macho wanailaumu serikali kwa kutochukua hatua thabiti juu ya waislamu wachache wanaoendesha unyama dhidi ya wakristo
wamlaumu Mh. Rais Kikwete kushindwa kutetea katiba katika kuwalinda watu wake juu ya usalama wa uhai wao na mali zao
- Kama...
Wakuu wataalam wa magonjwa ya binadamu, naomba ufafanuzi juu ya tiba ya Traction under GA operation, je hii tiba/operation inafanywaje?
Nimeshauriwa nimpeleke mgonjwa wangu akapate hii tiba kwa kuwa eti anasumbuliwa na uti wa mgongo.
Naomba nijulishwe hii tiba inafanywaje? Je ni operation...
Wana JF naomba msaada kwa anayemjua daktari mzuri wa magonjwa ya mifupa pamoja na presha anayepatikana hapa Dar es Salaam. Mama yangu amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya mifupa, kuvimba miguu pamoja na presha kwa kipindi kirefu sasa. Tumejaribu kwenda hospitali kadhaa mkoani Mbeya lakini hali...
Wanasheria naomba mnielimishe kuhusu suala la dhamana kupitia maswali yangu yafuatayo;
1. Mahakama inapoamuru kuwa moja ya sharti la dhamana ni kutoa hela, mfano sh. 20 mil.
-Hii hela inapelekwa hard cash/cheque mahakamani na kuwa deposited kwenye account ya mahakama mpaka kesi...
Wana JF habari za ujenzi wa Taifa?
Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa asali ya kutoka mkoa wa Tabora. Jana nilienda kuchukua mzigo wangu (asali) katika ofisi moja inayojihusisha na kusafirisha mizigo. Nilipokuwa nikitoka kuelekea parking kwa bahati mbaya au nzuri nikawa nimeongozana na jamaa mmoja...
Wadau habari za ujenzi wa taifa.
Naombeni wataalamu wa mambo ya roofing na material yanayohusiana na roofing mnisaidie mambo yafuatayo;
1. Aina mbalimbali za roofing material, suitability na gharama zake
2. Faida na hasara ya kila aina ya paa e.g. bati za kawaida, bati za migongo mipana (aina...
Wadau habari zenu! Naomba msaada kwa anayejua physical location ya kampuni inayoitwa G Investment Group ambayo inajishughulisha na utengenezaji wa AC za magari.
Kuna jamaa yangu kaniambia kuwa hawa jamaa ni mafundi wazuri sana wa AC, aliona matangazo yao TBC1 lakini kwa bahati mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.