Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 284
Wadau habari zenu! Naomba msaada kwa anayejua physical location ya kampuni inayoitwa G Investment Group ambayo inajishughulisha na utengenezaji wa AC za magari.
Kuna jamaa yangu kaniambia kuwa hawa jamaa ni mafundi wazuri sana wa AC, aliona matangazo yao TBC1 lakini kwa bahati mbaya hakubahatika kuchukua contact zao.
Nawasilisha!
Kuna jamaa yangu kaniambia kuwa hawa jamaa ni mafundi wazuri sana wa AC, aliona matangazo yao TBC1 lakini kwa bahati mbaya hakubahatika kuchukua contact zao.
Nawasilisha!