Recent content by utiyansanga

  1. U

    Blandina Nyoni ni NANI!

    Ahsante kutukumbusha mkuu!lakini bado anaishi na na mengine-hayo ya mali asili na india!
  2. U

    Blandina Nyoni ni NANI!

    Ni kweli anaijua kazi yake ,kufanya manunuzi ya aina hii,tena ya anasa ili hali mama wajawazito wanagalala chini Amana!
  3. U

    Blandina Nyoni ni NANI!

    Ahsante kwa tafakuri yako umejitahidi kwani ndio upeo wako !.uANAelewa maana ya purchasing serikalini +mchakato wote !Hii si vita ya biashara ni tafakuri ndogo ya kutusaidia kuuchambua umaskini wetu hebu tafakari hizo ash.zingeenda kunuua mashuka ya hospitali !
  4. U

    Blandina Nyoni ni NANI!

    Naam wasiriki 1000,kumbuka ni miak miwili,wanaweza wakawa walirudia mika 2 lakini walipata jozi 6 za excutive suit toka UK KUpitia Mriedo!inaweza isiwe excttly hao lakini huu ni ukweli na kama ni mdau /mtembeleaji wa maonesho hayo utakumbuka kwenye banda la afya kuna nini./!kumbuka haya ni sare...
  5. U

    Blandina Nyoni ni NANI!

    Blandina Nyoni ,KATIBU MKUU wizara ya afya ,ambaye pia aliwahi kuwa mhasibu mkuu wa serikali ,na kuwa katibu mkuu wizara ya mali asili ni mojawapo ya wanawake maarufu nchini, Pengine labda kutokana na nyadhifa alizoshika mf Mhasibu Mkuu wa SErikali na kM wa wizara kubwa mbili.Lakini haiba yake...
  6. U

    Hivi kikwete anajua au?

    eti ,eti,eti,,,,,,,,anajua!
  7. U

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    Katika kuangalia jinsi CCM inavyoua elimu kwa watoto wa wapiga kura wake nimekutana na shule inaitwa Jakaya Kikwate ...sijui iko wapi! Kuna matokeo ya form 4 hapa ambapo kati ya watoto 124 waliofanya mtihani % 61 wamepata sifuri .! na wengine walio baki wameambulia DV 4 ZA KUFA...
  8. U

    Matarajio na Matamanio ya Mabadiliko; Kazi hazifanyiki maofisini

    ni kweli ndugu tufanye kazi katikati ya uchafu huu,si unanaona watu tunakula forum tu ,wao wanafikiri kugoma hadi maandamano!
  9. U

    Kwa nini wasilipe na wake zao!

    Du quinne hiyo signature yako ...ni kweli !? Au ndio huo muafaka manguruwe yameanza kula shamba peke yao !yale huko 2 ,bara mwiko!
  10. U

    Kwa nini wasilipe na wake zao!

    Hivi ni kwa nini watu wanang'anag'ania kulipa matapeli wa DOWANS WASICHANGISHANE WAO NA WAKE ZAO WALIPE !HEBU FIKIRIA MTU KAMA CHENGE ANA 2 BILIONI HUKO UGHAIBUNI ...NA HIZO NI VIJISENTI TU HATUJUI FEDHA KWAWEKA WAPI !HIVI KWELI WAKIJITOKEZA MAPAPA NA MANYANGUMI 30 NA WAKE ZAO WATASHINDWA KUWA...
  11. U

    Du jamani mnatisha

    Kila nikufungua hapa nakutana na lugha nisizojua kabisa mara soft nini mara nini ,jamani mnatutesa hivi hii store ni ya masuala yenu ya IT tu itabidi nianze kujifunza ,hongerereni sana wataalamu wetu ila muikumbuke Tanzania !
  12. U

    Serikali yaanza kupunguza bajeti ya mwaka huu!

    Kuna kila dalili za kutimia kwa kauli ya DK SLAA kuwa bajeti ya mwaka huu ilikuwa ni kiini macho ,na kuwa haitafika mbali!baada ya serikali kuanza kuziagiza wizara kukata kiwango fedha ili ziende hazina .haijulikani kama punguzo hilo linahusiana na malipo fulani au vipi ,lakini wazalendo...
  13. U

    Mwakyembe amtaja waziwazi Rostam Aziz!

    Umeona EEH!
  14. U

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Nini Wchaga !ambao ni ndugu zetu !kuna Wnyarwanda ni ni wakuu wa IDARA ndani ya serkali yetu ,hata likizo wanaenda Kigali ....hii ndio Bongo land waacheni wachaga wanastahili kwani walitangulia!
  15. U

    Wamisri wana nia gani na sis!

    Jana kumemalizika mashindano ya soka kwa nchi za bonde la mto nileambapo timu ilshindwa vibaya lakini ikaambuliwa donge nono 1la sh.75,000,000. Mashindano hayo yamemalizika kwa amni lakini swali la kujiuliza je mashindano haya hayana implication yoyote kiuchumi na kisiasa kwa kuzingatia mvutano...
Back
Top Bottom