Kwa nini wasilipe na wake zao!

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
213
7
Hivi ni kwa nini watu wanang'anag'ania kulipa matapeli wa DOWANS WASICHANGISHANE WAO NA WAKE ZAO WALIPE !HEBU FIKIRIA MTU KAMA CHENGE ANA 2 BILIONI HUKO UGHAIBUNI ...NA HIZO NI VIJISENTI TU HATUJUI FEDHA KWAWEKA WAPI !HIVI KWELI WAKIJITOKEZA MAPAPA NA MANYANGUMI 30 NA WAKE ZAO WATASHINDWA KUWA WAUNGWANA WAKALIPA !
 
Watalipaje wakati wao ndio DOWANS? Watanzania kupitia kodi ndio mnaotakiwa kuwalipa hawa jamaa maana wao ndio wamiliki wa hiyo kampuni, tena mnawacheleweshea malipo yao kwani wake zao wanawasumbua sana kwanini malipo yanachelewa.
 
Hivi ni kwa nini watu wanang'anag'ania kulipa matapeli wa DOWANS WASICHANGISHANE WAO NA WAKE ZAO WALIPE !HEBU FIKIRIA MTU KAMA CHENGE ANA 2 BILIONI HUKO UGHAIBUNI ...NA HIZO NI VIJISENTI TU HATUJUI FEDHA KWAWEKA WAPI !HIVI KWELI WAKIJITOKEZA MAPAPA NA MANYANGUMI 30 NA WAKE ZAO WATASHINDWA KUWA WAUNGWANA WAKALIPA !
Kwani hujasikia Mkono amesema atasaidia serikali kujilipa Oopss kuilipa Dowans labda ni mwendelezo huo.
 
Du quinne hiyo signature yako ...ni kweli !? Au ndio huo muafaka manguruwe yameanza kula shamba peke yao !yale huko 2 ,bara mwiko!
 
Watanzania wapo milion 40 Ili kuilipa Dowans bilion 94., inabidi kila Mtanzania atoe sh 2350 including watoto na wazee
 
Back
Top Bottom