Nilitaka na wewe unisaidie kuwaambia ndugu na jamaa.zako ambao wapo babati au sehemu nyingine ambao wangependa pia kufanya kazi babati ndugu...hilo tu.
Wakuu Umofia kwenu.
Wanahitajika vijana wawili wa kiume/kike,waaminifu na wachapa kazi kutoka eneo la Babati Mjini kuweza kufanya kazi ya kuuza mikopo kwa wateja wa babati mjini na vitongoji vyake.
Ukiwa wewe ni mdau wa mambo ya mikopo ukiwa ni Mkazi wa "BABATI MJINI" mwenye kiwango cha elimu...
Wakuu Umofia kwenu.
Wanahitajika vijana wawili wa kiume/kike,waaminifu na wachapa kazi kutoka eneo la Babati Mjini kuweza kufanya kazi ya kuuza mikopo kwa wateja wa babati mjini na vitongoji vyake.
Ukiwa wewe ni mdau wa mambo ya mikopo ukiwa ni Mkazi wa "BABATI MJINI" mwenye kiwango cha elimu...
Wakuu salamu kwenu.!!Naomba kujulishwa duka linalotoa huduma hii kwa dar-es-salaam niweze kurepair tv yangu iliyoungua screen....ukiweka na bei ya gharama zote mpaka tv itengamae nitakushukuru sana.
Nawasilisha.
Wakuu..salaam..
Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu,!!baada ya kusafiri takribani week mbili na kuacha nimepaki gari yangu,nimerudi na kukuta battery ipo down kabisa hivyo kunilazimu kuitoa na kwenda kuichajisha kwa wachajishao.
Sasa katika harakati za kuirudisha nikachanganya...
Nimemshauri kama wafanyavyo Sumatra na polisi aweke namba zake wazi,kwenye bus,kama anahofia akiweka ofisini watasort out na kupeleka zinazosifia tuu..
Mimemwandikia e-mail,akiwa muelewa itamsaidia sana!!...maana kama mdau mmoja alivyosema hawa wafanyakazi wanahudumia wateja kwa kuangalia physical appearance.Nilikuwa mteja mzuri wa hii kampuni na nilifanyia referal watu wengi kuitumia..,magumu waliyonifanyia niliwakilisha kwa manager either...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.