INTERNSHIP: Wanahitajika maafisa mikopo wawili haraka;Babati Mjini.

thebusdriverclassc

Senior Member
Jan 16, 2014
146
66
Wakuu Umofia kwenu.

Wanahitajika vijana wawili wa kiume/kike,waaminifu na wachapa kazi kutoka eneo la Babati Mjini kuweza kufanya kazi ya kuuza mikopo kwa wateja wa babati mjini na vitongoji vyake.

Ukiwa wewe ni mdau wa mambo ya mikopo ukiwa ni Mkazi wa "BABATI MJINI" mwenye kiwango cha elimu ;Diploma in Microfinance,Marketing,Accounts na Community Devepment tafadhali chek na mimi PM tupeane maelekezo zaidi.

NB;Utajitolea kwa muda wa miezi mitatu huku ukifundishwa kazi kabla haujalamba mkataba mnono upon your perfomance na uelewa wa kazi.

Nawasilisha....Asanteni sana..

Update:
Ni lazima watu hawa wawe wakaazi wa babati ili kumpunguzia gharama muhusika maana kwa miezi mitatu utakuwa facilitated na field allowance kabla hujafanyuwa review ya perfomance....ndio maana haitajiki mtu wa kutoka.nje ya babati.
 
Kwa nini usiandike mabango ukabandika hukohuko babati kwenu!
 
Back
Top Bottom