Search results

  1. thebusdriverclassc

    INTERNSHIP: Wanahitajika maafisa mikopo wawili haraka;Babati Mjini.

    Nilitaka na wewe unisaidie kuwaambia ndugu na jamaa.zako ambao wapo babati au sehemu nyingine ambao wangependa pia kufanya kazi babati ndugu...hilo tu.
  2. thebusdriverclassc

    INTERNSHIP: Wanahitajika maafisa mikopo wawili haraka;Babati Mjini.

    Umepewa fursa ya kazi unaulizia kula???soma maelezo vizuri kijana
  3. thebusdriverclassc

    INTERNSHIP: Wanahitajika maafisa mikopo wawili haraka;Babati Mjini.

    Wakuu Umofia kwenu. Wanahitajika vijana wawili wa kiume/kike,waaminifu na wachapa kazi kutoka eneo la Babati Mjini kuweza kufanya kazi ya kuuza mikopo kwa wateja wa babati mjini na vitongoji vyake. Ukiwa wewe ni mdau wa mambo ya mikopo ukiwa ni Mkazi wa "BABATI MJINI" mwenye kiwango cha elimu...
  4. thebusdriverclassc

    INTERNSHIP: Wanahitajika maafisa mikopo wawili kwa haraka Babati Mjini

    Wakuu Umofia kwenu. Wanahitajika vijana wawili wa kiume/kike,waaminifu na wachapa kazi kutoka eneo la Babati Mjini kuweza kufanya kazi ya kuuza mikopo kwa wateja wa babati mjini na vitongoji vyake. Ukiwa wewe ni mdau wa mambo ya mikopo ukiwa ni Mkazi wa "BABATI MJINI" mwenye kiwango cha elimu...
  5. thebusdriverclassc

    Msaada:Duka linalouza vioo(screen)na replacement service tv flat screen-singsung inch 32

    Wakuu salamu kwenu.!!Naomba kujulishwa duka linalotoa huduma hii kwa dar-es-salaam niweze kurepair tv yangu iliyoungua screen....ukiweka na bei ya gharama zote mpaka tv itengamae nitakushukuru sana. Nawasilisha.
  6. thebusdriverclassc

    Msaada:kwa uzembe nimechanganya terminal connection ya betri ya gari

    Wakuu..salaam.. Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu,!!baada ya kusafiri takribani week mbili na kuacha nimepaki gari yangu,nimerudi na kukuta battery ipo down kabisa hivyo kunilazimu kuitoa na kwenda kuichajisha kwa wachajishao. Sasa katika harakati za kuirudisha nikachanganya...
  7. thebusdriverclassc

    Kilimanjaro Bus Service: Wahudumu (kondakta na madereva) acheni kauli mbaya kwa wateja

    Nimemshauri kama wafanyavyo Sumatra na polisi aweke namba zake wazi,kwenye bus,kama anahofia akiweka ofisini watasort out na kupeleka zinazosifia tuu..
  8. thebusdriverclassc

    Kilimanjaro Bus Service: Wahudumu (kondakta na madereva) acheni kauli mbaya kwa wateja

    Mimemwandikia e-mail,akiwa muelewa itamsaidia sana!!...maana kama mdau mmoja alivyosema hawa wafanyakazi wanahudumia wateja kwa kuangalia physical appearance.Nilikuwa mteja mzuri wa hii kampuni na nilifanyia referal watu wengi kuitumia..,magumu waliyonifanyia niliwakilisha kwa manager either...
  9. thebusdriverclassc

    Kilimanjaro Bus Service: Wahudumu (kondakta na madereva) acheni kauli mbaya kwa wateja

    Upo sawa mkuu ila hii ni ile 1/4 niliyosema ila 3/4 ni kichefu chefu kikubwa
  10. thebusdriverclassc

    Kilimanjaro Bus Service: Wahudumu (kondakta na madereva) acheni kauli mbaya kwa wateja

    Umenisaidia kuspeak mymind kwa vitu ambavyo sikuvielezea kwenye thread mkuu..Asante sana,cc:sawaya na mfanyakazi yeyote anayesoma huu uzi
  11. thebusdriverclassc

    Kilimanjaro Bus Service: Wahudumu (kondakta na madereva) acheni kauli mbaya kwa wateja

    Sure,Kwa mtazamo wa nje unaweza ona hawa watu wapo smart sana,wanasafirisha wazungu sana(na hapa ndipo wanaonyeshaga loyality yao)ila siyo kwa wabongo wenzao..Sasa hivi nipo tayari kupanda hata modern za Nairobi kama nimechelewa akina machame,lim na wengine,,sawaya kama umepita humu subiri e...
  12. thebusdriverclassc

    Kilimanjaro Bus Service: Wahudumu (kondakta na madereva) acheni kauli mbaya kwa wateja

    Wana inferiority complex,kwamba wanadharaulika kwa kazi wanayoifanya...hivyo dharau wanaitumia kama defence mechanism!!nafikiri sawaya anatakiwa kufikiri kuwa na kondakta wanaume pia,
  13. thebusdriverclassc

    Kilimanjaro Bus Service: Wahudumu (kondakta na madereva) acheni kauli mbaya kwa wateja

    Nashukuru mkuu kwa jibu ulilompa huyo@ziro,yawezekana ni moja ya wafanyakazi wa hii kampuni na hapo ndo anajitetea!!complain zangu zinajieleza ni constructive....sasa tuuachie muda utasema tuu
  14. thebusdriverclassc

    Kilimanjaro Bus Service: Wahudumu (kondakta na madereva) acheni kauli mbaya kwa wateja

    Ushauri mzuri sana mkuu mkuu,kama hutojali naomba unipm no.mawasiliano yake,nataka warekebike as in longrun itamharibia jamaa kampuni yake..natanguliza shukurani mkuu
Back
Top Bottom